Recent content by sahimtz

  1. S

    Usain Bolt aingia kwenye kashfa ya picha za mahaba na mwanafunzi

    Du nimecheka mpaka nimepaliwa!!
  2. S

    Rais umepotoshwa: Polisi hawawezi kushinda jeshi la watu 45 millioni

    Katika hao 45m punguza 15 mm na familia yangu. Usinishirikishe kabisa na kipigo cha kujitakia.
  3. S

    Prof. Lipumba: Nataka kurudi uongozini kuiondoa CCM 2020

    Kama ameshindwa kuitii katiba ya chama chake atwezaje kuitii katiba ya Jamhuri? Hivi huyu ni ktk wale maprof kina Maji marfu nini?
  4. S

    CHADEMA wakiwa Kanisani wakiomba kabla ya kujipanga na UKUTA

    Hiyo picha hapo yupo luwasa peke yake nakichwa cha habari cha mjadala huu ni uwepo wa luwasa kanisani au kipi nali dr sheni na wana ccm uliwahi kuwaona wakiingia msikitini kwa wingi kama walivyo ingia hao wa CDM na sare za chama? Hiyo siku marehem Mloo aliyozikwa je wana CCM walihudhuria hayo...
  5. S

    CHADEMA wakiwa Kanisani wakiomba kabla ya kujipanga na UKUTA

    Mzee Jumbe alitufundisha jinsi ya kumuheshimu allah subhana wataala akiwa na madraka gani ktk nchi hii na mwaka gani na sehemu gani alitolea huo wasia? Mbona unachangnya mambo mawili tofauti. Hivi huoni ww kama CDM wanakosea sana kujiegemeza ktk ukiristo wakati wakijua hii nchi sio wakiristo...
  6. S

    Mfanyabiashara Moshi Ajimwagia Petroli na Kujipiga Kiberiti

    Hakuna tatizo lolote duniani ambalo adhabu yake ni kujiuwa. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuchukuwa hatua ya kujiuwa. Ivi unafikia kuruzukiwa umri kama huo wa miaka 74 ni kitu gani tena ktk dunia hii kitakusumbuwa kipi kitakuwa kigeni kwako ambacho hujawahi kukutana nacho au kukisikia au...
  7. S

    TANZIA: Aliyewahi kuwa Rais wa pili wa Zanzibar, Mzee Aboud Jumbe afariki dunia

    M/zimungu hutoa nafasi za toba kwa binaadam wake ili kumrudia allah na kuomba msamaha kwa yale tulio mkosea muumba wetu. Hakika nakiri mbele ya allah huyu mzee ametubu mbele ya allah kwa dhati kabisa. Muda wote tokea ajiuzulu nyadhifa zote za serikali na chama hakuwa na ziada zaidi ya kufanya...
  8. S

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Mkuu hicho kigezo ulicho kitumia cha wadada wa kazi sio sahihi kila jamii tunaona wadada wa kazi wakipata shida hapa kwetu tz waswahili kwa waswahili wanatesana kila kukicha. Tunaona uganda kenya na nchi kadha za kiafrika zikinyanyasa wadada kazi na hata wadada wakazi nanawatesa matajiri zao au...
  9. S

    Safari ya Che Guevara Tanzania 1965

    Mzee ms inaonekana viongozi wengi wa znz ya nyuma ya miaka 1970 walikuwa na uhusiano wa hali ya juu na serikali ya cuba? Nakama ndio hivyo nini kimeondoa urafiki huo mkubwa uliokuwepo baina ya nchi hizi mbili znz na cuba?
  10. S

    Tuepuke sumu hizi: Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbena

    Hii kauli kubwa na kauli thabit wenye kutaka kuelewe wataelewa wasio taka wataendelea kujitia ujinga na kuendeleza mabishano yasio na mantiki wala mashiko. Hakika sheikh Muhamed allah amekuruzuku mengi ambayo wengi wetu allah ametunyima. Hakika yeye ndio mwenye kila sifa na anestahiki kuabudiwa...
  11. S

    Anthony Lusekelo (Mzee wa upako): Wabunge ni viburi, hawasikii

    Unafaham unacho andika au unaandika tu kwa kuwa unajua kuandika? Soma hii mada vizuri tokea mwanzo usiwe na haraka tu ya kuandika.
  12. S

    Hiki kifo cha mwezetu huku South Africa kimenifunza mengi

    Rubawa..Hi familia ya marahem inayoambiwa matajiri sindio waliokuwa wanagombania kodi ya vyumba na bi mkubwa wao mpaka ogomvi unaingiliwa na majirani na yule mbunge wa kule kisiwani? Hiyo nyumba ya kko anayosema huyu mleta mada ilikuwa mta gani huko kko? Nyumba ya sharifshamba tu palikuwa...
  13. S

    Anthony Lusekelo (Mzee wa upako): Wabunge ni viburi, hawasikii

    Kweli viongozi wetu wa dini wa sasa wengi wao wamekuwa ni hatarishi kwa usalama wa taifa. Leo kiongozi kama huyu anathubutu kukiri mbele ya dunia kama alishiriki kumfanyia mgombea kampeni na kumsaidia ashinde. Ivi huu ujasiri wa kuhatarisha amani ya taifa wanaupata wapi?
  14. S

    Edward Lowassa vs Jakaya Kikwete. Nani zaidi katika siasa?

    Kabla ya kuuliza hili swali mleta mada ungejiuliza utumishi wa siasa wa hawa marafiki waiwili ktk nyanja tofauti ktk taifa. Mm nadhani kikwete anetumikia siasa zaidi ktk nafasi tofauti mpaka kufikia uwenyekiti wa chama chake taifa.
  15. S

    Tuepuke sumu hizi: Brigedia Jenerali mstaafu Francis Mbena

    Kwani mafanikio ni akili ujanja au ni rizki za allah. Kumbuka allah humpa amtakae na humyima amtakae. Lakini hata hivyo alhamdulillah allh ameruzuku kila aina ya mafinikio mzee ms na inshaalla mwnyezimungu amruku na firdaus siku ya huku yeye na familia yake na sisi wajawake amen.
Back
Top Bottom