Recent content by sagemba

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mmachinga aibuka millionea

    Ukilinganisha umri na vitu alivyokuwa anavifanya,,she was the best of all. Hata mashindano mengi ya talent huko nchi za watu huwa hayana age restriction,,vipaji vinatakiwa vivumbuliwe vikiwa vidogo ili viendelezwe. Believe me another movie star has been born
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mmachinga aibuka millionea

    Dogo yuko juu kwa umri wake kama anaigiza vile,,,then akiwa mkubwa she will be something else,,she deserved it
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulikuwa tukichat tu, tumekutana na kufahamiana leo na leo leo tumezini.

    Duh ndo umeandika vitu gani we kidato cha pili. Embu jifunze kuandika vizuri
  4. S

    JamiiForums Tanzania nauza Samsung Galaxy S3 ORIGINAL

    wewe nawe...si umeambiwa ipo katika hali nzuri which means ni used
  5. S

    JamiiForums Tanzania Warning kuhusu simu za Galaxy S4, S3, Note 2 za kichina

    zipo galaxy s4 mini feki zinakubali hiyo code, simu ni clone kabisa,kwanza haina sensor kama inavyotakiwa kwenye galaxy s4,pili quality za picture ni mbaya sana,internal memory ni ndogo, display sio ya galaxy kabisa but hiyo LCD test code inakubali
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulikuwa tukichat tu, tumekutana na kufahamiana leo na leo leo tumezini.

    acha umburula kwenye mapenzi hakuna ugreat thinker...sexual life has nothing to do with the degree of intellectual,keep that in mind!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    nyie ni watu wa ajabu kuna mwaka hamzaliwi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    aisee hata mimi ni 15 august
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nani yuko macho tupige stori?

    shansarie karibu kulala
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukweli Mtupu

    Ukimchukua kwa gari lako binafsi, ukampeleka Mlimani city akafanya shoping halafu ukalipia wewe... Ukamaliza ukamrudisha kwao atakwambia."SEE YOU BABY TAKE CARE!! Ukifika pliz call me eeh!"Ukienda kwa daladala, huna mkwanja maneno mengi tu....Ukishaaga naye atakwambia."KWAHERI MWAYA!"...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Test ya kujua mpenzi wa kweli

    hahahahaha
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Test ya kujua mpenzi wa kweli

    i know lakini hii ni joke ya kimapenzi...ni sawa vile vile hata nikiiweka hapa, itawafikia walengwa kwa haraka zaidi
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Test ya kujua mpenzi wa kweli

    nipe mtandao pendwa
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Test ya kujua mpenzi wa kweli

    Acheni kutoka mapovu...huu ni utani tu...mara oh mapungufu, kitu gani nyie
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Test ya kujua mpenzi wa kweli

    Ili kumpima baby wako mwambie hv: "baby i love you.." atakujibu: "i love u too.."mwambie tena: "baby i miss you "atakujibu: "i miss you too" mwambie tena: "baby nakutumia 50000 kwenye m-pesa.." Akikujibu: nakutumia 50000 kwenye m-pesa too!!" basi huyo atakuwa wa ukweli
Back
Top Bottom