Recent content by Sage Hamisi

  1. Sage Hamisi

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Bongo fleva na Diwani wa kata ya Mwanga, Clayton Chipando (Baba Levo) amehukumiwa kifungo cha miezi mitano jela

    Msanii wa Bongo Fleva na Diwani wa kata ya Mwanga, Manispaa ya Kigoma Ujiji, Baba Levo amehukumiwa kifungo cha miezi mitano jela kwa kosa la kumshambulia Askari wa Usalama Barabarani, hukumu maalum kutoka mahakama ya Mwanzo Mwandiga. Zaidi, soma... Kigoma. Diwani wa Mwanga Kaskazini...
  2. Sage Hamisi

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa!

    Sh ngapi
  3. Sage Hamisi

    JamiiForums Tanzania Natafuta Sponsor wa Kuwekeza Kwenye Website hii ya Habari na Biashara

    Tuungane ili Tufanikiwe Katika hili! Natafuta makampuni au taasisi mbalimbali zitakazokuwa tayari kudhamini project hii niliyoandaa ya biashara na habari. SageWap ni website itakayofanya kazi duniani kote, ikiwa na mfumo wa kuuza na kununua bidhaa mbalimbali, pamoja na kutoa habari...
  4. Sage Hamisi

    JamiiForums Tanzania BIASHARA BUSINESS

    JIUNGE NA BIASHARA YA MTANDAONI - NETWORK BUSINESS AMAZONE TRADERS Ndugu jamaa na Marafiki leo nimekulea Biashara nzuri na inayoweza Kukuza kipato Chako toka 100,000 HADI 1000,000 Kwa Mwezi!! SHERIA ZA KUJIUNGA Unaweza kujiunga Kulingana na Kipato Unachomiliki Kwa kuangalia Jeduari hili HIZI...
  5. Sage Hamisi

    JamiiForums Tanzania Maelekezo Jinsi ya Kuandaa Website Database

    Husika na kichwa hapo naomba mnisaidie Jinsi ya Kundaa Database ya Website maana nasumbuka sana Japo mifumo Rahisi ahsante
  6. Sage Hamisi

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hi
Back
Top Bottom