Mi bado hainiingini akilini...na kuanzia Leo siwezi Ku quote TBC as a credible source of information...Yaani katika ulimwengu huu wa digital walidhani tutaamini kirahisi rahisi hivo...Yaani hizi propaganda mass media ni upuuzi mtupu..
Yeah nakubaliana na wewe bila shaka kuna mtu alimng'ata sikia akamwambia mzee hawa jamaa wako hapo nje....
Akatoa go ahead...
Very sad aisee.... Hizi i wish i could be....
"Ipo siku atasema i wish i could be God"
Hili jengo nalifahamu lipo karibu kabisa na barabara kama mita 15..
Nadhani makada wamepagawa na reforms hasa zile za kupunguza idadi ya wajumbe.... Jambo hilo linastua lazima akili ivurugike[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
mi nadhani viloba navyo vingeingizwa kwenye orodha ya dawa za kulevya...siku hizi kuna viwanda bubu vingi sana vinavyotengeneza viroba hivi...lakini pia nadhani watu huchanganya madawa haya ya kulevya kwenye viroba hivi kwani haiwezekani mtu anakunywa mathalani viroba viwili tu lakini analewa...
ndugu naona hata wewe hujayachunguza maandiko vizuri.
kwa taarifa tu Israel ni taifa teule ambalo Mungu aliwapa wana wa Israel.. kwa ushahidi tu soma kitabu kifuatacho
Ezekiel 36:16-24 hichi ndicho kilichotokea mwaka 1948
ni suala lililo jema kuheshimu mawazo ya kila mmoja ili kujipa nafasi ya kujenga hoja mbali mbali na kusaidiana ili kupata muafaka. ninavyoelewa mimi kulingana na historia ya kanisa ni kama ifuatavyo,
- Papa Julius II akishirikiana na askofu mmoja aliyekuwa ujerumani walikuwa na mkakati wa...
Huyo mwanamke dawa yake jifanye na wewe kichaa siku muja umpige kiadhabu .. Huenda anatingisha kiberiti aone kama njiti zimo... Ukiendelea kuinamisha kichwa chini na kumsikiliza tayari huwezi kuwa kiongozi wa taasisi ya familia ndugu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.