Rais wetu amesema vema sana kwamba haya magari yanayotumiwa na mashirika yanayohudumia wakimbizi yakimaliza shughuli zao yasiuzwe Bali zipewe Halmashauri husika,rais akapiga pin magari yaliyotarajiwa kuuzwa mwishoni mwa mwaka jana. Sasa wamekuja na mbinu ya kukodi magari ya watu binafsi ili...
Naomba niwambie jambo moja ambalo pengine miongoni mwenu wapo wanaofahamu na wengine labda hawajui. Mimi nafanya kazi kama Afisa tarafa huku kasulu,na kambi ya wakimbizi ya nyarugusu ipo ndani ya tarafa yangu.Kwa mazingira haya na nafasi hii napata kukutana na wazungu wengi wa mashirika...
Ukweli ni kwamba sijawahi mwamini huyu mwinjilisti. Imani yangu kwake ilitoka pale alipokuwa anamshauri Rais magufuli kuwa ajitoe ndani ya ccm na urais wake na kujiunga na chama kingine. Angewezaje kkuvua uanachama na kubaki na urais?
Lakini pia katika hili sakata lake na mh.makonda,mara ya...
Jamani usiku wa kuamkia leo nimeota kuwa pinda amefika ofisini kwangu,tukaanza kuongelea habari za katiba. Tukabishana sana kuhusu mjadala wa katiba ulivyohodhiwa na ccm. Mwisho akaniambia hawezi kuendelea kubishana na mtumishi wa umma mwenye mlengo wa upinzani. Nakumbuka nilimwambia kuwa...
Awe Wassira au machali kama anahamasisha watu walime hifadhi kwa manufaa yake kisiasa ni upumbavu tu. Kwa suala hili hakuna cha ccm,cdm wala nccr. Umuhimu wa hifadhi unaeleweka. Kama wewe ni mkazi wa kasulu ukasikia watu wa ksl wanalima hifadhi utashangaa, hatujafikia huko. Ardhi iko tele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.