Recent content by Saeed Eddy

  1. Saeed Eddy

    Ukweli kuhusu kampuni ya Katani LTD

    Nafikiri duniani kote sheria ni kufanya uchunguzi halafu ukisha kamilika una mshtaki mtuhumiwa. Kwetu Tanzania unabamizwa ndani, unabambikiwa money laundering case, maanake ndio hutoki mpaka maiti. Na hapo hapo utapelekwa mahakamani kila wiki 2, na kesi itaahirishwa kwa kuwa mwanasheria wa...
  2. Saeed Eddy

    Ukweli kuhusu kampuni ya Katani LTD

    Kaka nataka kujua mkewe gani ni mkurugenzi. Halafu kampuni hazichagui ukurugenzi kama chama cha siasa. Ni makubaliano ya wana hisa. Huku Ulaya, mwenye shares kubwa katika kampuni ndio CEO. Hachaguliwi, ila pochi lako kinazungumzia.
  3. Saeed Eddy

    Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    Kusema kweli hii habari sio ajabu. Serekali hailipi madeni yake kwa wananchi. Wafanya biashara wengi wanadai serekali manillion ya FEDHA, na hakuna malipo. Hasa kampuni za madawa zinadai mashirika ya serekali kwa miaka, lakini hawalipwi. Kwa hiyo sioni laajabu hapa. Tanzania hakuna Sheria...
  4. Saeed Eddy

    MADUKA YA FEDHA ZA KIGENI

    Kashauriwa vibaya. Tunarudi nyuma Sana. Sasa soko la black market rate limeanza upya kama kipindi cha Julius.
  5. Saeed Eddy

    MADUKA YA FEDHA ZA KIGENI

    Baada ya miaka 16 nje ya nchi na mara ya Kwanza nimerudi Tanzania na kuona vitu vya ajabu Sana. Moja wapo no zoezi la kufungwa Maduka ya FEDHA ZA KIGENI. Hii imesababisha kupoteza muda mwingi Sana wa watu kwenda mabenki kubadilisha pesa, na rate ya kubadilisha pia kuwa mbaya Sana kwasababu...
Back
Top Bottom