Recent content by Sadick ayubu

  1. Sadick ayubu

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Bongo kazi akuna na ukipata kazi bado aikulipi
  2. Sadick ayubu

    JamiiForums Tanzania Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Nimekusoma mkuu ni kweli hata mimi niliapply kazi sana za electrician indeed na sijawahi kupata kumbe iko ndio kigezo arafu kingine hawa jamaa awaamini elimu za bongo
  3. Sadick ayubu

    JamiiForums Tanzania Wakenya, Waganda na Watanzania wanalala nje katika mitaa nchini Canada

    Kufika huko naweza hata pesa ya kuanzia ninayo mkuu kitu ambacho nataka ni vizuri ukawa hata na mwenyeji ambaye anaweza akakuelekeza machaka pia hata kumchangia makazi
  4. Sadick ayubu

    JamiiForums Tanzania Wakenya, Waganda na Watanzania wanalala nje katika mitaa nchini Canada

    Mkuu mimi ni electrician nipe muongozo nitinge
  5. Sadick ayubu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mila za Kabila la Waluguru zina kasoro, chukua tahadhari kabla hujaoa huko

    Sio kweli mkuu hiyo ni tabia ya mtu tu
  6. Sadick ayubu

    JamiiForums Tanzania Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

    Kwahyo niende nikasome tena mkuu?
  7. Sadick ayubu

    JamiiForums Tanzania Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

    Wakuu naombeni ushauri wenu mimi nimesomea Certificate of electrical installation level three (three years veta) na nina experience ya 5 years nikienda Canada kutafuta maisha Kwa uzoefu wenu nitatoboa?
  8. Sadick ayubu

    JamiiForums Tanzania Nimepata Visa ya Canada, mpango wangu ni kuzamia mazima (SIRUDI TENA)

    Mkuu umetumia njia gani kupata kwa urahisi hivyo?
Back
Top Bottom