Recent content by sadee

  1. S

    JamiiForums Tanzania Amemfumania mchumba wake aki cheat, afanye nini?

    Ushauri wangu ni hivi: Kama huyo dada ni mwaminifu asilimia zote kwa mchumba wake basi namshauri amwache huyo mwanaume lkn Kama na yeye amewahi kupita kando hta km hakukamatwa basi amsamehe.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jifunze: Kwa mnaopenda Vita au mashabiki wa Vita na Rwanda

    Usilolijua ni usiku wa giza, watanzania kwa kelele na ushabiki hatujambo. Tuombeni mungu aepushilie mbali vita na machafuko, yeyote anayeshabikia vita ni kwa vle amezaliwa na kukulia kwenye amani na neema. Lkn nikiona namna nchi ya Rwanda ilivyosambaratika kwa vita lkn sasa huwezi amini vile...
  3. S

    JamiiForums Tanzania M23 warudi nyuma, Rwanda yapeleka Jeshi mpakani, Rais Mseveni aitisha kikao cha dharura Kampala!

    Sikuwahi kujua km humu jamvini kuna vichaa! Sasa hapo umeandika nini? Unatoa hoja na ushauri utadhani mkutano ulioitishwa ni kamati ya harusi?
  4. S

    JamiiForums Tanzania KATI YA MAMA NA MKE,nani anapendwa zaidi?Utata umegubika.

    Hapo sasa kwenye kufungua masikio eti unaelezwa madudu ya mkeo ujue ndoa imekushinda. Kwani mpaka unaamua kuingia agano nae la ndoa hujajiridhisha tu? Back to the point, kiukweli wakati mtoto wa kiume hajaoa huwa karibu na mama, unakuta mama moyo wake wote kawekeza kwa mtoto wake, sasa anapooa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Daktari anasema sina uwezo wa kutia mimba na nyumbani nina watoto wawili

    Jamani acha form four, hata std 7 hawezi kutunga huu upuuzi!
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Padri,mlipuko wa bomu Kanisani FBI waitwa! Bomu Soweto CHADEMA watoe Ushahidi!

    Bado kdogo tutafikia hatua ukienda hta kumwandikisha mtoto shule za goverment utaulizwa we ni chama gani hospitali vile vile, km hali yenyewe ndo hii, yaan watu wameuawa then inasemekana wamejiua wenyewe? But now our leaders are showing us their true colours. Sidhani km kuna mtu watamfool 2015.
Back
Top Bottom