Recent content by Saddie Omary

  1. Saddie Omary

    Naomba kujuzwa Soko la ajira kwa kozi ya Mining Engineering

    Nimegraduate mining Engineering 2021 Udom, kozi ni nzuri sana shida ni limited number ya migodi mikubwa yani Large scale mines au Wizarani & Tume ya madini, ambazo ndizo zinalipa vizuri. Kikubwa ni kwamba kama huna ramani yoyote we omba Mungu tu pia uwe tayari kujitosa kwenye mashimo ya small...
  2. Saddie Omary

    Kozi gani ina michongo mingi kati ya Civil Engineering, Quantity survey na Geomatics?

    Nimekuelewa vizuri mkuu, pia kuna tofauti gani kati ya Geomatics na geoinformatics? Ipi ni competent than other? Mtu wa geoinformatics anaweza kufanya kazi za geomatics and vice versa?
  3. Saddie Omary

    Kozi gani ina michongo mingi kati ya Civil Engineering, Quantity survey na Geomatics?

    Wakuu kwema, Mimi ni muhitimu wa Diploma ya uhandisi madini (Mining Engineering) kutoka university of dodoma. Natamani kubadili upepo na kuongeza wigo mpana wa ujuzi kwa levo ya degree dirisha la mwaka huu likifunguliwa Inshaallah, katika moja kati ya kozi kama civil eng, Quantity survey na...
  4. Saddie Omary

    Kuna aliyepata nafasi ya kusoma degree kwa "D" moja na "E" 2022/2023?

    Aombe kati ya hivi vyuo kuna uwezekano mkubwa akapata, Mimi nilipata matokeo kama hayo PCM 2019 japo sikwenda hivyo vyuo ila kuna watu walipata mwaka wetu pia so ajaribu kuomba anaweza kupata.. chuo cha maji ubungo, institute of accountancy arusha, utanishukuru baadae
Back
Top Bottom