Bora Hata usisubiri mtoa post mshia hajielewo,msikiti hapo ulikombolewa na maswahaba ambao kwao mashia ni maadui inakuingia akilini mashia wakautetee hapo?
Dola ya majusi(Itan)Ilivunjwa Na Swahaba Ummar Ibnu Khataab)
WAPALESTINA Walikombolewa na Ummar Ibnu Khataab)
KWELI MASHIA WANA UCHUNGU...
Bora Hata usisubiri mtoa post mshia hajielewo,msikiti hapo ulikombolewa na maswahaba ambao kwao mashia ni maadui inakuingia akilini mashia wakautetee hapo?
Dola ya majusi(Itan)Ilivunjwa Na Swahaba Ummar Ibnu Khataab)
WAPALESTINA Walikombolewa na Ummar Ibnu Khataab)
KWELI MASHIA WANA UCHUNGU...
Hujui LOLOTE umeandika tu,ushia ni dini tofauti na UISLAM,
Kwanza rejea vitabu Vyao firaqus As- shia Mwanzilishi wa ushia ninani?
Mwanzilshi wa ushia ni Myahudi Abdullah IBN Sabai(Al- yahud) Alitokea Yemen istoshe Wanachuoni Wote wakarne zilizopita Wametaja Katika vitabu Vyao Ushia siyo Katika...
Hivi HII fitna na neno ugaidi imeanzia wapi?
Wateswaji wa hii fitna ni waraabu TU? Hapa tulipo waislamu wangapi wapo magerezani Kwa kisingizio Cha ugaidi?
Doctor Zakir Naik kafukuzwa India kisa ugaidi AO hujui?
Si KWELI HAYA MANENO ...
USA adui yake MKUBWA uislam coz unapingana na machafu Yao wanatoyaeneza,,Kila kukicha wako bize kupanga vitimbi dhidi ya uislam
Tishio kubwa duniani inayozuia ajenda zao ni Uislam,,
Na vitimbi haviakuanza Leo soma SURAT Nuhu utapata ufahamu mkubwa
Anasema Allaah (Subhaanahu wa Ta'aalaa):
ظَهَرَ الْفَسَادُ فِي الْبَرِّ وَالْبَحْرِ بِمَا كَسَبَتْ أَيْدِي النَّاسِ لِيُذِيقَهُم بَعْضَ الَّذِي عَمِلُوا لَعَلَّهُمْ يَرْجِعُونَ ﴿٤١﴾
Ufisadi umedhihiri katika nchi kavu na baharini kwa sababu ya yale yaliyochuma mikono ya watu ili (Allaah)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.