Recent content by sabyzoo

  1. sabyzoo

    JamiiForums Tanzania DEKI ZINAUZWA

    Deki nzuri kutoka UK original zinapitakana kwa bei poa fika ofisini kwetu ilala boma mtaa wa arusha au piga Namba 0715 856687 NB:Deki ni special for flat TV Tupigie kuweka oda yako na mkoani tunatuma.
  2. sabyzoo

    JamiiForums Tanzania Msaada nahitaji mayai ya kuku wa kizu

    Kama kichwa cha habari kinavo elekeza wana jamii naomba msaada wa kupata connection ya Mayai kwa bei ya kupoza poza kidogo nihitaji trei 1000 kila wiki msaada wadau nipo dar 0715 856687
  3. sabyzoo

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna msanii yeyote anamzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki?

    Una kazi za kufanya we ujiulizi kwanini unatumia mudawako kumuongelea uyo no star dogo waza maisha yako...eti happy birthday
  4. sabyzoo

    JamiiForums Tanzania Baba yangu alivyowahi kupigwa jiwe na mwanafunzi mwenye kiburi

    Serikali inafanya maamuzi kwa presha za mitandao
  5. sabyzoo

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea Walimu wataacha kuhangaika na mtoto wa mtu

    Kiongozi kwa jinsi nilivo liona hili jambo watu wengi wanalipeleka kishabiki binafsi na ungana hoja yako hili jambo longeangaliwa kiundani zaidi kwasababu limegusa pande mbili na maamuzi yoyote yanayo tolewa yanapeleka impact kwa pande zote mbili kwa ujumla wao (mfano tukianza na shule ambapo...
  6. sabyzoo

    JamiiForums Tanzania Kiwanja shamba kinauzwa

    Nauza Kiwanja kipo maeneo ya mkuranga jaribu ekali tano eneo limepimwa na hati zipo Bei 6ml. 0715856687
  7. sabyzoo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Mambo vp wadau nomeona nitumie fulsa ya Uzi huu kutafuta kibarua maana maisha ya mtaa yamekaba baraa Mimi ni kijana wa miaka 28 naish dar natafta kibarua cha kujikim na maisha nimeangaika kwa muda mrefu pasipo mafanikio kwa ufupi nina experience ya kufanya kazi bank miaka miwili ambapo ilikua ni...
Back
Top Bottom