Recent content by sabuni jr.

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nauza PS2 Bei ya Bia tatu tu!

    Nitumie picha!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    This tym arsenal wamekamilika na chochote kinaweza tokea
  3. S

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Lakin this tym arsenal wamekamilika naamin chochote kinaweza tokea
  4. S

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Huyu Costa ni shidaa na kesho cna wasiwsi city lazima afungwe hasa ukizingatia yayatoure yupo afrika na ambaye ndo tegemeo la city!,
  5. S

    JamiiForums Tanzania Samadu Maduu na anga za Kimataifa

    Anaitwa samadu hassan jamaa namkubali sn katika uchambuz wa habar za kimataifa,hachoshi kumsikiliza hasa katika makala zake za anga za kimataifa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nahisi kudata

    Nimemaliza coet Bach in Mech Engineering
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nahisi kudata

    umemaliza chuo..
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nahisi kudata

    Wakubwa nimeandika uzi huu ili tusaidiane ,may b psychological problem nimeshadate na wasichana kama wa4 tofauti nashindwa kudum nao najikuta ni mtu wa kutengeneza mahusiano mapya kila siku mpaka nimeamua kuwa mtu wa kilaj
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nahisi kudata

    Kuna binti nilitokea kumpenda sana wakati nasoma o level sikubahatika kudoo nae ila nilimpenda sana na yeye alinipenda sana, baada ya olevel nilikwenda A level boarding mikoani mbal na nyumbani, toka a level mpaka chuo na sasa nimemaliza chuo nimeanza kazi sijawahi kumuona tena nilimpenda sana...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta frame ya biashara

    Nilipendelea banana au hii barabara ya airport yote c mbaya hata sehem nyingine
  11. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta frame ya biashara

    Msaada mwenye kufaham frame ya biashara ya grocery inayopangishwa anisaidie mie nipo maeneo ya banana
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba cha kupanga

    Chumba na sebure kiwe na choo ndani(master) maji na luku ya kujitegemea viwepo napendelea zaidi mitaa ya airport,karakata,majumba sita,banana hadi Mombasa karibu na barabara garama yangu 80-100
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wanaohitaji kununua kitabu changu cha my mommy's friend na kukisambaza

    Hi Hi ni kwa mtu atakaye hitaji kufanya biashara na mimi Eddazaria katika kukinunua kitabu changu cha MY MOMMY'S FRIEND na akapata asilimia kadhaa katika mauzo ya kitabu changu kwa mawasiliano zaidi 06570725988 au 0768516188 au tembelea blog yangu www.storyzaeddy.blog.com au facebook page yangu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta frame ya biashara

    Natafuta frame kwa ajiri ya bishara ya vinywaji (pub,grocery au min bar) nitafurahi zaidi nikipata mitaa ya kipawa,airport,banana,majumba sita,njiapanda ya segerea au Mombasa .... Nawasilisha wakuu msaada wenu ndio mafanikio yangu!...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta Pango la grocery au pub

    Thanx mkuu! ila ningepata mitaa ya nyerere road (Airport,banana,Mombasa,gomz au majumba 6) ingekuwa poa sn!
Back
Top Bottom