Karibu Leo, Linda na kuza biashara yako nasi.⚖️
Huduma zetu ⚖️
1. Ushauri WA kodi
✓ Kufanya makadirio ya 2026 ( January -March)
✓kutuma return za PAYE, SDL, VAT na WHT ( January - December)
✓ Ukaguzi WA kodi
✓ kufanya mapingamizi ya KODI
✓ kusajili VAT
2. Huduma nyinginezo
✓ leseni za biashara...
QuickBooks ni rahisi kutumia na husaidia kufanya kazi za uhasibu kiotomatiki kama vile kuweka hesabu, ankara, ufuatiliaji wa wakati, ufuatiliaji wa gharama, ufuatiliaji wa hesabu kwa usahihi ulioongezeka.
Taja na wewe hapa...
Ni kuhusu VAT upande wa Exportation.
Scenario Iko hvi, Kuna kampuni tatu (KED, XYZ & ABC)
1. KEDA ni non-resident company ipo Uganda na inaexport coal from Tanzania .
2. XYZ ni resident company ipo Tanzania, ina act as an agent wa kuexport coal on behalf of KEDA.
3. ABC ni resident company ipo...
Na saboso JR
Kampuni nyingi za kibiashara, wajasiriamali na wafanyabiashara kwa kawaida wamejaribu kufungua biashara zao na kuwekeza kwa kasi kubwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha miundombinu bora ya utoaji huduma na bidhaa kwa kiwango cha juu, kuajiri wa wafanyakazi wengi na kuwapatia mishahara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.