Recent content by sablack

  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Poa we nielekeze tu
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta msichana makini ili tuanze mahusiano chanya

    Mi niko serious ni pm
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuanzisha nae familia

    i wish ungenipa nafasi but mimi nina mtoto mmoja kama utapenda nipm
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    husimkatishe mwenzako tamaa mbona tupooooo
  5. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba (Mke)

    da!huna vigezo wewe?
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukikubali kuoa mwanamke aliyezaa uwe mwangalifu yasikutokee haya

    kauli yako natengua labda unambie vipi kwa mwanamke akaolewa na mwanaume mwenye watoto ambao wapo kwa bibi yao?alafu sina hakika kama jambo hilo ni la ukweli
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nasaha ya usiku huu kwa single mother

    asante umeongelea single mo what abt single baba?
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa nimjibu vipi dada yangu

    sijui nianzie wapi ila kifupi pole sana.ukisikia sikio la kufa halisikii dawa ndo dada yako.kuna watu wapo kwenye ndoa yao hupenda sana kusikiliza ya watu,kuna watu wanadumu kwenye ndoa zao kutokana na sababu zao wanazozijua wao yaweza kuwa negative au positive.kuna watu wapo tayari hata roho...
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa nimjibu vipi dada yangu

    sioni sababu ya kumwambia kwani dada yake anaonyesha pale kafika kwa kuwa alishakataa aonyeshe msimamo wake kesho atasikia na yeye anatembea na shemeji yake akiulizwa atakataa lkn dada yake atamini tu kama hivi alivyoamini.
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashindwa nimjibu vipi dada yangu

    sawa lakini mapenzi hayaingiliwi lakini vipi akimwambia then kesho amwone dada yake kafikishwa kunako si atamuona mdogo wake mbaya?
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kupendana nae siku zote za maisha yangu.

    nami natafuta wa kumdekea kwakweli lkn sijampata
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kike for marriage

    mimi sina mtoto nina mimba vipi?
  13. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Story ya kweli: Niliwahi kutembea na wasichana hawa

    ulivyo wataja hapo wooote ulikuwa unatafuta sifa au?
  14. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke mwema anahitajika

    acha kumkatisha tamaa tupo sana jf na mitandao mengine sio kipimo cha kumpata mke mwema,wapo ambao hawapo mitandaoni ukiwaangalia wanawake kumbe wanawaka ambapo ukimfanya mke utajuta nakwambia vivyona wanaume kumbe wanauma
  15. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke mwema anahitajika

    wewe hapo umenena mimi wangu huu mwaka wa nne eti tunachumbiana tuu nataka kumpa kibuti naona ananizingua ningeapply kwako sasa mimi nina cm 135 cv imeshachafuka tena,ok ngoja waje wengine
Back
Top Bottom