Natamani kuwa na huyu mwanaume kwenye siku ya valentine day,aniambie popote alipo ntamfata kwa gharama zangu,ananikosha sana nyonga zangu,simmalizi nikimfikiria, niitieni anitoe hamu nataka kuspend nae tu hizo siku mbili tatu kila mtu asepe,basi akinitosa niitieni Connor mzee wa rubbish nae...