Recent content by Sabasaba

  1. Sabasaba

    DOKEZO Video: Mdada wa Kinondoni aliyeenda kufanya kazi za ndani Iraq afichiwa passport na mwajiriwa wake. Anyimwa chakula na kupitia mateso

    Hapo ndio kwenye shida, kazi ya house girl ukishareport kazini kurudi ni baada ya mwaka au miaka miwili ndio unapewa ticket ya safai. sasa ukianza uswahili ya ooh Mama anaumwa au naomba ruhusa nimefiwa shida ndio zinaanzia hapo
  2. Sabasaba

    Yemen Houthi: Tutajibu mashambulizi Israel nchi yeyote itakayozua makombora tutaishambulia

    Dah ndio maana waa hasira wakaenda kupiga Bandari za yemen
  3. Sabasaba

    Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO

    Hii ndio picha kubwa ya kile kinachoendelea duniani, wacha tuone hii michezo inaishia wapi:):)
  4. Sabasaba

    CONFIDENTIAL: Barua Pepe zaonesha Maafisa 62 wa Serikali ya Tanzania akiwemo IGP walihongwa Fedha na ACACIA (2008/2015)

    Hakuna rushwa hapo, wamepewa huduma wamelipia, basi, walitaka wapewe bure?
  5. Sabasaba

    Kwanini 'military takeovers' zimerudi kwa kasi Afrika?

    you got it right mate, world transition from unipolar to multipolar world ndio trigger ya haya yanayoendelea kwenye regime change. ila France ana wakati mgumu aiseeh, ni kama mwanamke amekuchoka halafu hutaki kuachika
  6. Sabasaba

    Rwanda yatuma majeshi yake mpakani na nchi ya DRC Congo, yasema iko tayari kwa vita!

    ni kama utani lakini ndio uhalisia wenyewe hao Watusi wanapewa kiburi na jamii ya NATO miaka mingi ndio maana kuna propaganda za western kumfanya yeye ndio kiongozi bora wakati anaexploit madini ya Congo miaka mingi-bomu la nyuklia lilipigwa hiroshima lilizalishwa na madini kutoka Congo miaka...
  7. Sabasaba

    Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Ukifautilia hii vita unaona kabisa kuna tofauti ya shabiki wa ngumi za Mandonga anayetafasiri vita vya Russia na Ukraine, hii ni vita inayoenda kuibadilisha dunia kutoka Western giants wakiongozwa na US na UK mpaka kupata NATO ya 'ASIA PACIFIC' ambao wanajivunia populations kubwa ambayo ndio...
  8. Sabasaba

    Uzi maalum wa maisha ya wanyama na tabia za kushangaza

    Mnamjua mnyama anaitwa Bonobo lakini? tabia zake za kujamiiana? naishia hapo
  9. Sabasaba

    Mbaroni kwa matumizi ya Lugha ya Matusi dhidi ya Mkuu wa Wilaya

    Ms. Siriel Shaidi Mchembe Specialist of Social Protection and Women’s Entrepreneurship, Institute of Financial Management, United Republic of Tanzania Ms. Siriel Shaidi Mchembe is a District Commissioner at Gairo District, Morogoro Region Tanzania. She is a Deputy to H.E Hon. Samia Suluhu Hassan...
  10. Sabasaba

    Zitto aliwezaje kusoma vitabu 48 na hapo hapo kukesha twitter?

    Kwa hili kama linaleta mjadala nadhani watanzania wenzangu hususan vijana tunaanza kukosa maarifa ya msingi, kusoma vitabu ni hobby kama walivyo walevi wa pombe na ngono, kuna anayekunywa bia mbili na mwingine pampula. Kuna wasomaji wazuri tu wa vitabu na wanajulikana huwa wanasoma mpaka zaidi...
Back
Top Bottom