Recent content by sabas matata

  1. S

    Shujaa wako mwaka 2012

    Jk ni shujaa wa mwaka 2012.
  2. S

    Kwa mwendo huu hakika CHADEMA itafika 2015 kwa nguvu zaidi ya hii iliyopo

    mara nyingi mtoto ambaye hampendwi ndiyo mwenye akili ktk familia.
  3. S

    Viongozi wa vyama vya upinzani Mtwara wakamatwa na polisi

    mbaazi zikikosa maua husingizia jua.
  4. S

    Kuchana Bendera ya CHADEMA kwamuweka matatani Diwani wa CCM

    ubaguzi, ubinafsi na fitna za siasa hizi zinakaribisha chuki na machafuko ktk jamii zetu hapa Tanzania.
  5. S

    CCM yapendekeza wagombea binafsi kwa nafasi zote ukiwemo urais

    waroho wa madaraka wanaiandama chadema kila kukicha. Magazeti ya udaku/propaganda.
  6. S

    NEMC: Uchimbaji wa urani (uranium) una athari kubwa

    Uranium ni hatari,ukitaka kujua hebu google na usome uranium ni nini? Sifa za uranium, tabia yake;decay,disintegration,dissemination,half life yake na madhara yake kwa binadamu na mazingira.watawala wetu hawa wanaleta porojo na siasa kwenye mambo ya sayansi. wataalamu wamemezwa na...
  7. S

    Bima ya Afya (NHIF) ni ukusanyaji wa kodi:

    Bima ya Afya ni ufisadi mwingine,wanakata mishahara ya wafanyakazi kila mwezi kwaajili ya bima ya afya lakini ukienda hospitalini hakuna dawa kwa wenye bima huu ni utapeli.
  8. S

    'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

    politiki na sarakasi za bongo is so boring .
  9. S

    Sakata la Gesi: Tuiangalie kusini kwa jicho la tatu, tuache siasa!

    Tatizo sio gesi tu BALI Watanzania wamepoteza IMANI kwa WATAWALA wetu .Swali; serikali iliibuka kwaajili ya nini?
  10. S

    Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

    waandishi makanjanja hao!
  11. S

    Salaam za Lowassa 2013: Watanzania chukueni maamzi magumu!

    maamuzi magumu hayasemwi tu huwa yanachukuliwa tu mara moja na wenye macho wanayaona.
Back
Top Bottom