NI MIEZI MITATU SASA INAKATIKA HIVYO TANGU UDOM KUTOA MATANGAZO KUHUSU SCHOLORSHIP ZA MASTERS NA Phd na kututoza 50000/kama application fees!tunamuomba mh. rais Dr
Pombe John Joseph Magufuli afanye ziara kutuokoa.
Sasa walala hoi tulioweka hela zetu na wamezichukua kama DESI na uongozi wa...
takribani mwezi umeisha hakuna lolote linaloendelea udom kwa wale tuliomba scholorships ya masters na phd on improving basic literacy! kwa yoyote aliye na taarifa kuhusu hatima ya 50000/= zetu tulizofanyia application kuwa ndo zimeliwa au??ili nijue nafanyaje mabadiliko
Katika hali isiyo ya kawaida polisi wametanda chuo kikuu cha SEKOMU, kuzuia wanafunzi wa mwaka wa tatu ambao wanadai pesa yao ya tahadhari(caution money) pesa ambayo chuo kinadai kukata kiasi 20000 kwa ajili ya quality assurence fee.
Rais Jacob Kitunga wa serikali ya wanafunzi wa chuo kikukuu ya kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU) kutokana na waziri mkuu liziki mashambwa aka mulokole fake kuandika barua ya kujiuzulu, kutokana na kushindwa kuhimili maswali ya wabunge vijana wa sekomuso wanaoiga siasa za majitaka na...
ni hatari sana wahitimu wa ualimu katika chuo cha sekomu 2014 hakuna hata mmoja aliyepataajira sababu ya msingi etichuo hakitambuliwi kweli jamani TCU mpotupeni majibu ,tamisemi wanadai uongozi wachuo haukutuma majina ya wahitimu
Jana jioni tume ya uchaguzi SEKOMU-SO kupitia mwenyekiti wake Bwana Samara, ilitoa majina ya kuwania urais kwa msimu wa mwaka 2015/2016 kama ifuatavyo: Jacob kitunga Dickson Mkingi na Shabani Gwao Charles nsyuka kuondolewa kwa kigezo cha G.P.A na KOnzo kukosa mgombea mwenza. nakampeni...
wafuatao wamechukua form ya urais na sifazao kwa kina
NsyukaA.charles-hafai kwani alishiliki moja kwa moja kuipiga chini serikalini ya mh.marko joseph kwani alikuwa signatories alipitisha mihamala feki pia amechonganisha waumini wa kanisa lake la bondeni na kuwasambaratisha waumini kwani...
Nipo katikati mwa chuo kikuu SEKOMU taarifa kutoka kwa chanzo cha kuaminika toka chuo hiki ni kuwa wafuatao wamehusika mojakwa moja ktk mtihani uliokuwa umeibiwa kwa wanafunzi wa mwaka wa tatu katika kitivo cha elimu ambao ni walimu wa masomo husika ,
Examination office, baadhi ya wanafunzi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.