UDOM kwa dhuluma hii na utapeli huu hauvumiliki

sabai

Member
Dec 17, 2012
69
7
NI MIEZI MITATU SASA INAKATIKA HIVYO TANGU UDOM KUTOA MATANGAZO KUHUSU SCHOLORSHIP ZA MASTERS NA Phd na kututoza 50000/kama application fees!tunamuomba mh. rais Dr
Pombe John Joseph Magufuli afanye ziara kutuokoa.

Sasa walala hoi tulioweka hela zetu na wamezichukua kama DESI na uongozi wa UDOM umekaa kimya hatujui hatima yetu ni ipi tuliomba nafasi ya kwenda kusoma mpaka now hawajatoa update yoyote!

Utapeli huu na dhuluma hii na ujizi huu hauvumiliki.
 
Back
Top Bottom