Recent content by saana

  1. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kupiga kelele usingizini na kujing'ata ndani ya mdomo

    Hilo tatizo mhusika anapiga kelele usingizini na hata kujing'ata ndani ya mdomo kwa magego. Pia anaweza kujiumiza kwa kujigonga kitandani maana husumbuka. Naomba mwenye ufahamu wa tiba atoe msaada. Asante.
  2. S

    JamiiForums Tanzania kilichomtibu nguvu za kiume ni hiki baada ya kutapeliwa sana

    Kumbe tangazo la biashara tu kama matangazo mengine. maneno meeengi, kumbe promo tu. Powa Saana Tu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sept 7, 2019: Asiye na mwana abebe jiwe! Uelekeo ni mmoja tu - umati wote utahangaika na mapokezi ya Tundu Lissu

    Dada zacha Una hasira saana. punguza hasira, ndoa isije kukushinda. shughulika na ndoa na mume wako. sisi kaka zako tuko pamoja na ww. Powa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sept 7, 2019: Asiye na mwana abebe jiwe! Uelekeo ni mmoja tu - umati wote utahangaika na mapokezi ya Tundu Lissu

    Dada yetu MOTOCHINI muwahi shemeji yetu nyumbani. haya tuachie sisi kaka zako. wewe shughulika na ndoa na mume, basi. Saana
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sept 7, 2019: Asiye na mwana abebe jiwe! Uelekeo ni mmoja tu - umati wote utahangaika na mapokezi ya Tundu Lissu

    Dada Trump2, Pole kwa wivu. Tafuta kidume dada yetu. Sisi kaka zako tunaona aibu dada mzuri km wewe kukosa mime. Powa
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uume hausimami nyumbani

    Hya waungwana!! Hebu rusheni muafaka wa hili jidudu!!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Itigi: Polisi wadai wakati wa mauaji ndani ya kanisa, mkurugenzi alikuwa nje ya kanisa

    kwann wasisubiri kumhoji marehemu? mbona wanatoa taarifa mapema..
  8. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inaamini nini kwa sasa?

    Dada mwengeso, tulia Dada etu, utaachika bure.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna chama cha upinzani ambacho kina uwezo wa kuongoza nchi!

    dada zainaby, Hakuna mada ni umbea tu huo wa kujifariji.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna chama cha upinzani ambacho kina uwezo wa kuongoza nchi!

    dada zainaby, kuachika kumekuasiri kisaikolojia. tuliza akili waweza pata mume mwingine. pole
  11. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Madiwani walioenguliwa wakata rufaa tume ya uchaguzi

    Dada YEHODAYA, Kuwa mtulivu, Shemu akushughulikie. Mengine achana nayo. Umeelewa?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kama CHADEMA watamsahau Lissu na kuanzisha mjadala wa kumtetea Dkt. Kashililah!

    Dada johnthebaptist, Shoga ako kakupigia story ya uongo. Like bwawa aafu kina kirefu. Watu wameshindwa kuogelea. Huko wanaweza? Mko juu.. BigUp.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuteuliwa Juliana Shonza si tu body shock kwa CHADEMA, bali ni soni

    Shemu masopakyindi, Mshughulikie braza wetu vizuri uilinde na kuitunza ndoa yako. Wenzako wanalea wewe unakuwa busy na ya akina Shonza. Shauri yako. So unaona bi wangu ananyonyesha. Kuwa busy na yako.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kama CHADEMA watamsahau Lissu na kuanzisha mjadala wa kumtetea Dkt. Kashililah!

    Dada johnthebaptist, Shughulika na shemu wetu. Utanyang'anywa mume bure. Hizi issue tuachie sisi wanaume. Asante
  15. S

    JamiiForums Tanzania Lazima tukubali CCM ndio Chama pekee Tanzania na vyama vingine ni matawi yake tiifu

    Shemu wangu Wakudadavuwa, Tandika kitanda, msubirie braza. Hizi ndoto za mchana achana nazo. utakufa kwa stress. Mke mwenzako mjamzito. Pole,
Back
Top Bottom