kilichomtibu nguvu za kiume ni hiki baada ya kutapeliwa sana

Doctor Nature

Doctor Nature

New Member
Joined
Jul 30, 2018
Messages
4
Points
45
Doctor Nature

Doctor Nature

New Member
Joined Jul 30, 2018
4 45
Kumbe hakuwa anashida sana, kilichomtibu nguvu za kiume ni hiki baada ya kutapeliwa sana
Huenda ukawa unasoma post hii, usijali sitakutaja jina wala unapoishi kama ulivyoniruhusu.

Ni kijana wa miaka 28 hapa Tanzania ambaye alijitahidi kujitunza hadi miaka 25 ambapo hakuwa ameshiriki tendo la ndoa na mwanamke yeyote.Akiwa na miaka 25 kulinganana na maelezo yake alipata mwanamke ni hapo ndipo majanga yalipoanzia.

Anasema usiku huo alijaribu mara mbili lakini hakufanikiwa kile alichokuwa amedhamiria. Dah! Alitamani kujificha, ni aibu ambayo hakuwahi kupata katika maisha yake. Hadi yule mwanamke anaondoka bro hakuamini kama ni yeye.

Anakumbuka maneno aliyoambiwa siku ile kabla yule mdada hajaondoka kuwa hajawahi kukutana na mwanaume mwenye kipeni kilegevu kama chake.. Ooh! Bro hakwenda kazini (mjenzi) siku 4 akiwaza sana hayo maneno.

Mwishoni mwa tafakari yake ya machungu alihitimisha kuwa hakuna haja ya kuoa aibu yote hii ya nini.
Kwa sababu ya wasiwasi na woga ilimbidi aanze kutafuta jinsi ya kuondokana na janga hili.

Alikutanana na wataalamu mbalimbali mtandaoni ambao alivutiwa nao kuwa wanaweza kumsaidia na alitumia pesa nyingi aliyoipata kwa jasho la ujenzi.
Lakini kwa bahati mbaya ilikuwa ni kama anakula placebo (dawa zisizo dawa kwa ajili ya majaribio).

Alifanikiwa kuwa na mwanamke mmoja mwingine baada ya huyo wa kwanza lakini naye mambo yalikuwa magumu. Nadhani huenda ni kwa sababu ya woga na kutojiamini kwake.

Baadaye katika pita pita zake mtandaoni alikutana na channel yangu ya YouTube. Baada ya kuangalia video zangu kadhaa akagundua ni kama naweza kumsaidia.

Alinipigia simu kwa wakati tofauti tofauti kwa siku kadhaa bila mafanikio nadhani kwa sababu hakujua muda ambao napokea simu kwa ajili ya ushauri. Akanitext whatsapp nikamwomba tuwasiliane muda wa consultation.

Baada ya kuongea naye nilimshauri ajiunge na program yangu ya mwezi mmoja kutibu upungufu wa nguvu za kiume kwa mwezi mmoja kiasili. Alikubali kwa shingo upande kwa sababu ameshapigwa sana.

Siku ya kwanza naongea naye nikamsikiliza nikagundua wala hata hana shida mwilini kama alivykuwa anadai ila akili. Yaani saikolojia na mtazamo ndio vinamsumbua.

Sasa nikajiuliza hawa wataalamu wenzangu waliokuwa wanampatia dawa ilikuwa kwa ajili ya nini? Siko hapa kuwalaumu huenda ndivyo wanavyoelewa.’

Ilikuwa rahisi yeye kukubaliana na mimi kuwa shida ipo kwenye akili yake lakini ilikuwa ngumu kuiminisha akili yake kuwa ilichokipokea ndicho sawa.

Nilimpatia maelekezo ya kufanya. Kila siku tuliwasiliana kupitia group maalumu na baada ya wiki 2 alijisikia kuwa anajiamini, anawapenda tena wanawake na akaweka mpango wa kuoa hivi karibuni si unajua umri tena!?

Mimi naitwa Dr Nature ni mtaalamu wa afya. Nimeshughulika na matatizo ya uzazi wa wanaume kwa miaka 3 na nusu sasa.

Nimewasaidia wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume 193 toka nilipoanza kutunza kumbukumbu Na kati ya hao ni asalimia 10% ndio ambao walitumia dawa yangu na wengine wote walipona kwa ushauri, mazoezi na chakula.. Hii ni nzuri sana.

Pole ndugu yangu kama na wewe unahangaika na aina yoyote ya upungufu wa nguvu za kiume.

Kuna aina 3 za upungufu wa nguvu za kiume; kukosa au kuwa na hisia kdogo za ngono, misuli kukosa nguvu au kuwa legelege na matatizo ya kufika kileleni.

Aina zote hizi zinaweza kusababishwa na matatizo ya kibaiolojia au kisaikolojia.
Kila moja kuna namna yake ya kutibu, sio kila moja unatakiwa kutumia dawa, ndio! usitumie dawa bila kupima! Kwanini ufanye mambo kienyeji katika ulimwengu wa kisasa?

Katika program yangu kama unamagonjwa mengine kama kisukari na presha nitakusaidia kukabiliana nayo kwanza kabla ya kuhangaika na nguvu za kiume.
Hata kama hupendi kuwa kwenye magroup unahitaji huduma (exclusive private) ya kipekee bado naweza kukuhudumia.

Ona jinsi ilivyorahisi, wasiliana nami kwa namba 0767759137 uanze program katika kipindi hiki kifupi cha ofa ya punguzo la gharama.

Wako anayekutakia afya na furaha kamili, Dr Nature.
 
S

saana

Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
69
Points
95
S

saana

Member
Joined Jan 24, 2014
69 95
Kumbe tangazo la biashara tu kama matangazo mengine.

maneno meeengi, kumbe promo tu.

Powa
Saana Tu

Mbwa Mwitj

Mbwa Mwitj

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2019
Messages
214
Points
250
Mbwa Mwitj

Mbwa Mwitj

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2019
214 250
Nimeisoma yote. Mwishoni ndo nimeelewa . Ila poa
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
17,647
Points
2,000
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
17,647 2,000
Ukikubali Kulaliwa Utapasuka Uwe Kama Pono
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Uta Uta

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Messages
3,005
Points
2,000
Uta Uta

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2016
3,005 2,000
Naomba uweke na mademu wa majaribio hapo ofisini kwako, nikila dawa natest kwanza mitambo nisije pata aibu mbele ya Demrs bure
 
Maxmizer

Maxmizer

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
4,838
Points
2,000
Maxmizer

Maxmizer

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
4,838 2,000
nilipoona ni fundi mjenzi alafu kaanza kaona mwanamke akiwa na miaka 25

akili ikaniambia hii ni biskuti
 
Forum statistics

Threads 1,335,546
Members 512,359
Posts 32,509,312
Top