Recent content by saadmbiligwa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Mwalimu hakuwa mungu kwamba kila alilosema halibadiliki, alikuwa na utwshi wa binadamu wa kawaida akimpenda au kutompenda mtu kwa sababu za kibinadamu ndo maana hata alie mpendekeza ktk awamu ya tatu tunajua alichotufanyia.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanaohama CCM wanasaka madaraka ili kulipa madeni

    Hatutaki habari za kulupua tu nataka aseme watatufanyia nini mambo ya kulipuana bila vithibitisho ni ujima
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Kwa mtindo huu sisiem kwisha
  4. S

    JamiiForums Tanzania Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Anajiabisha sana pole pole
  5. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Ni siasa za umajitaka na ni kwa nini gazeti la uhuru ndo lianze kuwa na taarifa
  6. S

    JamiiForums Tanzania Je, Lowassa amezichoma moto nguo za CCM?

    Adui wa chadema sio nguo za ccm
  7. S

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vinatumika kuihujumu CCM?

    Itv kwa sasa inafanya majukumu kama television bora kabisa nchini haina kifani
  8. S

    JamiiForums Tanzania Matson Chizii, Ole Medeye na Mgana Msindai - Kesho kupokelewa CHADEMA

    Mgana alikua mwenyekitiwa umoja wa wenyeviti wa ccm bara, pia mwenyekitiwa wa mkoa singida
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM Singida ajiunga na CHADEMA usiku huu

    Daaah kafanya maamuzi magumu mno
  10. S

    JamiiForums Tanzania Lowassa ahutubia Baraza Kuu la CHADEMA

    Hilo ndo swala la msingi
  11. S

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Natishwa

    Nathan kuna kukurupuka ktk hili, swala la msingi ni mageuzi, ufisadi ni concept pana sanaaa na unapokuwa haujathibitika complication haziepukuki, labda aache siasa, Never trust a politician to grant you a favour he will always try to control you forever
  12. S

    JamiiForums Tanzania Dk. Milton Makongoro Mahanga atangaza rasmi kujiunga CHADEMA

    Habari nzuri sana mabadiliko muhimu
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

    Sasa napata imani kila la heri chadema
Back
Top Bottom