Recent content by SaadFatima

  1. S

    JamiiForums Tanzania Akopea nyumba ya jirani Milioni 200 kwa Hati Feki. Malalamiko yalifika hadi Ikulu danadana nyingi

    Sawa nimeelewa kua mambo ni mawili ya lazima 1.taratibu zairathi 2.wilayani kitengo Cha ardhi Naomba kuuliza swali la mwisho, Je,unaposema taratibu za mirathi ni kama zipi na wahusika/zinawahusisha nani na nani ni lazima wahusike kuzikamilisha Kwa maana ya kwamba kabla ya kifo Cha...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Akopea nyumba ya jirani Milioni 200 kwa Hati Feki. Malalamiko yalifika hadi Ikulu danadana nyingi

    Oh nashkuru sana, kwahiyo unamaanisha kwenye hati za jirani yangu naweza kupata namba ya kiwanja chetu
  3. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu na gharama za kupata hatimiliki ya nyumba/kiwanja

    I Tafadhali Naomba namba yako kiongozi Nina mengi yakukuelezea
  4. S

    JamiiForums Tanzania Akopea nyumba ya jirani Milioni 200 kwa Hati Feki. Malalamiko yalifika hadi Ikulu danadana nyingi

    Unaweza kunipa namba yako? Swala ni kwamba Sina detail yoyote wazazi wamefariki ghafla hatukuzungumza chochote sababu haikutarajiwa.....nachofaham ni namba ya nyumba tu nisaidie tafadhal nijue pa kuanzia
  5. S

    JamiiForums Tanzania Akopea nyumba ya jirani Milioni 200 kwa Hati Feki. Malalamiko yalifika hadi Ikulu danadana nyingi

    Nitajiridhisha wapi Sasa na ndo wamefariki tayari Ila Nina uhakika tu kua nyumba ni yao Ila hiyo hati ndo haionekani
  6. S

    JamiiForums Tanzania Akopea nyumba ya jirani Milioni 200 kwa Hati Feki. Malalamiko yalifika hadi Ikulu danadana nyingi

    Naomba kukuuliza iwapo wazazi wamefariki bila kuelekezwa hati miliki kwahiyo haijulikani ilipo Je inawezekana nyumba kukatiwa hati upya inachukua muda gani na inagharimu kiasi na utaratb ukoje
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa dhamana ya nyumba, Msaada wenye Nyumba

    Samahani naomba kuuliza kiwango Cha mwisho Cha mkopo wa bank ni kiasi gani .. Pia ni vigezo gan hivyo muhimu walivyokutajia. Na je kama una nyumba Ila hivyo vigezo vyengine huna inatosha kukopea??
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Jinsi ya kupata hati ya nyumba

    Naomba unielekez taratibu za mirathi kukamilisha unatakiwa uanzie wapi
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hati ya kiwanja ikipotea au kuungua kuna uwezekano wa kupata nyingine original?

    Naomba kuuliza; Iwapo wazazi wamefariki bila kuacha taarifa za hati miliki kwahiyo haijulikani ilipo, Je,mrithi anatakiwa kufata taratibu gani ili aweze kupata hati miliki upya inachukua muda gani na inagharimu kiasi gani Naomba kuwasilisha
  10. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu na gharama za kupata hatimiliki ya nyumba/kiwanja

    Ñaomba niulizie hapa na kila mwenye uelewa wa hili naomba anieleweshe. Iwapo imebaki nyumba ya urithi na hati haijulikani ilipo Kwa maana wazazi waliaga dunia pasi na kutoa taarifa za hati miliki. Je,mrithi anatakiwa kufata taratibu gani ili aweze kupata hati miliki upya,inachukua muda gani na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Utaratibu na gharama za kupata hatimiliki ya nyumba/kiwanja

    Samahani kaka kumradhi,kama hutojali naomba namba yako nikupigie kuna mambo natamani kueleweshwa au nifanyaje ili niskilizwe Kwa ukaribu
Back
Top Bottom