It's been long since I logged into jf and commented but Hii bagamoyo kwani haijaisha..almost 10 years ago huu ndio ulikua WIMBO WA kina Geza ulole hapa ndani
:D :D :D :D :D..usikue ukitumia akili kama kofia ya wakorino,you have your priorities as a country we have ours.at the end we take the overall rating of the city,the good and the bad combined
:D :D :D :D :D...hiyo ndio line yako yakujidefend sio?nmekwambia tu simple leta mtu neutral mwenye amerank Dar juu ya Nai tuache huu ushabiki hapa.definetly wewe utasifia chako na mmi ntasifia changu,ndio maana game huwa na refa
Its only a tanzanian who will say dar is ahead of nai..enda kwa content creators wote huko youtube ambao sio mkenya or mtz ambae anasema dar iko juu ya nai upaste hapa
wakenya nanyi mwatuangusha humu ndani....mnacompare aje kisumu na arusha surely?the only city yakuchukulia serious in tz ni dar tu,hizo takataka zingine sijui arusha,mwanza,,sijui gani ingine ni wazicombine ndio mzishindanishe na msa,kiusumu or nakz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.