Recent content by Saad10

  1. S

    JamiiForums Tanzania Je inawezekana kuhama kituo cha kazi kwenda mkoa mwingine kabla miaka mitatu haijaisha baada ya ajira?

    Shida inaanza unampa ela nani mkuu...?Bongo dar es salaam utalia lia lia ndani ya dsalaam.!
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuhama kituo cha kazi kutoka mkoa X kwenda mkoa Y ndani ya taasisi moja

    Mkuu ulifanikiwa?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Matumizi Affidavit na deedpoll

    Okay,,ulifanikiwa kubadilisha Nida??
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nilivyofanikiwa kubadili majina yangu yaliyokosewa NIDA

    Nilianza June 20 ,,uyo dogo anachangamoto kwenye majina mangapi?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nilivyofanikiwa kubadili majina yangu yaliyokosewa NIDA

    Inatesa asee,,ivii ukienda makao makuu naweza kupata msaada maana nimechoka.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nilivyofanikiwa kubadili majina yangu yaliyokosewa NIDA

    Barua nimeandika toka june, wiki hii yote naangaikia iyo fomu no 3 adi leo nilikua nida apo,,nipo dsm
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nilivyofanikiwa kubadili majina yangu yaliyokosewa NIDA

    Sio kweli me nilienda kusajili deedpoll ardhi wameniambia nifate fomu namba 3 kutoka nida ,,kufika nida wameniambia and andika barua kwenda kwa mkurugenzi mkuu,,mwezi umepita hakuna majibu ya barua na nina shida ya deedpoll isajiliwe ardhi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nilivyofanikiwa kubadili majina yangu yaliyokosewa NIDA

    Sorry bro ikifika mwezi na barua ushaandika kwenda kwa mkurugenzi mkuu ukienda Makao yao makuu naweza kupata msaada ya hiyo barua yangu??
  9. S

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu hati ya kubadili jina (deed poll)

    Ardhi ndio wanasajili hati zote
  10. S

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu hati ya kubadili jina (deed poll)

    Deedpoll unaanzia Nida au Ardhi naomba nijuzwe please??
  11. S

    JamiiForums Tanzania Matumizi Affidavit na deedpoll

    Vp mkuu ulikubaliwa na affidavit au ulisajili deedpoll?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Zidisha ibada Mungu awezi kukuacha Ipo siku utapata tu,,zidisha ibada ni kipindi kigumu ukiona mikeka jina lako hulioni usikate tamaa omba
Back
Top Bottom