Recent content by s_faith

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu nimetoa penzi kwa shemeji yangu bila kutongozwa, imeniuma sana

    Polee saana ila ishatokea si sawa mtot wa kike kuingia chumbani na mwanaume n hatar sana coz wanabadilikaga saana hawaa,,,,all in all yashatokea kama kweli unajiona ulikosea jitahidi isitokee tena,,,,,
  2. S

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda ushaurii wenu tafadhari

    Thank you for your comment,,
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nauza vito vya Silva: Jumla na Rejareja

    Kwasas sina ila naweza nikaweka oda ukaipata ndani ya siku mbili
  4. S

    JamiiForums Tanzania Nauza vito vya Silva: Jumla na Rejareja

    Ninazo kuanzia gramu moja na nusu na mbili za urembo tofauti tofauti. Ukihitaji takuletea uchague
  5. S

    JamiiForums Tanzania Niko njia panda ushaurii wenu tafadhari

    Mimi ni msichana na Miaka 25,Nilikua na mpenzi wangu ambae nampenda saana tumesaidiana mambo mengi sanaa,kwa sasa tuna Miaka saba kwenye mahusiano kwetu mi tuna hali ngumu kidogo alinisomesha Chuo hadi nikamaliza. Nilipoumwa aliniuguza japo kua ana mapungufu yake ni mtu wa michepuko ila hua...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nauza vito vya Silva: Jumla na Rejareja

    Asante kwa ushauriii kwa reja reja nauza 6000 gramu kwa jumla maongezii kutokana na mzigo ataohitaji
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nauza vito vya Silva: Jumla na Rejareja

    Habari zenu wana JF, mimi ni msichana mtafutaji, nauza vitu vya Silva kama cheni, hereni, pete, vito na kadhalika. Niko Dar es Salam, ukihitaji naweza kukuletea ulipo kwa walio Dar. Unaweza kunicheki kwa 0769 456 582, Karibuni sana!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani

    Vizuriii sana kaka umeonyesha umebeba nin kweny kichwa chako
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za ndani

    Mimi ni msichana wa miaka 24,,ninatafuta kazi za ndani dar rs salam,,,aliyetayari anitafute kwa namba 0769456582
Back
Top Bottom