Picha B inaonekana kama imeundwa kwa kutumia akili mnemba (AI-generated) kutokana na mwonekano wake wa ajabu na maumbo ya milima ambayo yanaonekana yasiyo ya kawaida, kama vile tofauti za rangi zisizolingana na uhalisia. Picha A inaonekana halisi zaidi, ikionyesha mandhari ya mlima na msitu na...
Hivi Hawa wawikilishi wa wananchi tuliwachagua sisi wananchi kweli?
Au ni watanzania kweli wenye kujua maisha ya watanzania wenzai?
Mbona kama tunacheza pembezoni mwa shimo refu?
Tunaijua hiyo.....
Kwahiyo sisi siio watu tulioko Ngorongoro kwa maana hiyo?
Sheria za Nchi hii tunaifahamu, mamlaka ya kutufutia vijiji na kata pamoja na huduma zetu Mmezitoa wapi,
Mnasema Tumehama kwa hiari, saw, ambao hatukuwa na hiarinya kuondoka mmetuoma Vinyago sio
Sitamani hata kukujibu ila basi nikujibu tu
Ngorongoro hatutoki...
Tutaishi vizazi na vizazi.
Ikibidi Damu zetu zitafunika Ardhi ya Ngorongoro hapo ndo mtaweza kutufuta kwenye Ramani ya Dunia na sio kutuhamisha.
Subiria uone
ISAYA OLE POSI....
Huyu Hii kesi ni ya lini?
Sisi tupo huku tunamsubiri Samia aje atuambie mwenyewe kwakuwa ndyo mkuu wa mwisho kusema Ndyo au hapana, Huyu Isaya Ole Posi wamemtia wapi na kesi hii iliendeshwa lini?
Kwani Kesi ikon wapi ?
Mahakama gani imeendesha shauri hilo?
Mbona tunajidanganya kiasi hiki?
Kizazi hiki cha Karnes ya 21 kweli mnapelekesha mambo kijinga kiasi hiki?
Au ndyo kusema mbwa wameanza kutafuna mifupa?
Au ndo kutupumbaza?
Au ndo kusema Kuona Aibu tuipakae kama kesi?
Bado kuna maswali...
Kwa mujibu wa taarifa hii, HESLB haina makosa ila kosa lipo kwa uongozi wa UDSM-DARUSO.
Kumekuwa na taratibu za ovyo sana kuwafanya wanafunzi kuingia UVCCM kupata baadhi ya nyazifa mbalimbali wawapo chuoni hapa kuanzia Kuwa kiongozi wa DARUSO tu lazima uwe UVCCM japo hawasemi lakini mchakato...
Mimi ninaomba kama yupo likizo, tupeni hata mahojiano yake na nyie walau atoe neno, hauiwezekani serikali ikkqe kimya mda mrefu na watu wanaulizana, hakafu majibu yanakuja simple tu "YUPO LIKIZO" kama yupo likizo na Afya njema, inamaana haoni yanayozyngumzwa? kwanini asiseme neno lolote?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.