Mm nilitakaga kupoteza fahami nikiwa ndani ya MRI aisee nilikuwa nimevaa mkanda ss nafanyiwa MRI ya kichwa kumuuliza daktari vp nitoe mkanda akasema achana nao ile nimeingizwa machine kuwashwa naona suruali inavutwA mpaka inataka kufika shingoni na hapo niliambiwa nifumbe macho aisee nilifumbua...
Duh hii ndo shida ya kumpenda zaidi mwanqmke kuliko anavyokupenda yeye mkuu.Kwa sie wengine hilo haliwezi kutokea sababu mwanamke ndiye anayehaha kukupalilia ili tu usimteme hivyo ukileta ndugu atampambania kumuonyesha upendo sababu ataamini huyo ndo mtetezi wake.
BTW Mkuu japo hauna mke hapo...
Amani ya Mola I we juu ya wote wapendao haki.
Nchi za Magharibi na Marekani zimekuwa na mipango ya muda mrefu ya kuangamiza uchumi wa mataifa ya Mashariki ya kati na ISRAELI ndio mfanikishaji wake hivyo nadhani juu ni wakati muafaka wa kuisambaratisha ISRAEL ili kuvunja ngome ya magharibi...
Duh huu uharo wallah umepitiliza level za uharo,ww unataka mjadala wote uhamie huku,Yesu huyu huyu aliyewambwa msalabani na hao wayahudi ndiye unasema anategemewa kuwa msaada wao??
We jamaa ni graduate wa level ya juu ya upumbavu,Stupid kabisa
Kweli nimeamini humu watu hamjuani yaani haya majina yanawachanganya sana,kwenye hiyo list yako kuna watu ni vifutu tena na vitambi vya kutisha eti unawaweka kwenye list ya umiss dah.
Amini nachokwambia kuna watu hapo hawawezi kutokea endapo wataitwa kwa namna yoyote ile.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.