Ya Lwakatale - Yule Mzee wa ulinzi wa Chadema sijui Cuf na video fake za Nchemba ndio yanamrudia. Michezo hiyo ya video fake yeye ndio muasisi wake, sasa analalamika nini ?
Kaokota embe chini ya mnazi.. English hiyo imekaa vizuri tatizo haina substance- nyama za kujitosheleza hazimo ndio maana follow ups za maswali zikawa nyingi…Anapuyanga puyanga tu na kurusha mikono- ni dalili kwamba maswali yanampa stress, hajui aanzie wapi na amalizie wapi- Mara Paap habari za...
Sasa kama alimkatalia, ya nini kumtangaza? Mademu wengi wangekuwa na tabia ya kuwatangaza watu walio wachombeza na waliowapiga chini, msululu huo ungejipanga Dar hadi Morogoro…
Huyu mchungaji aaache shombo za kijinga kijinga kama hizi…
Kwa hiyo sisi wananchi wa Kenyamonta tunaotaka kujenga kwa kutegemea mikopo ya benki, ambayo inahitaji hati miliki kama dhamana, tuendelee kusubiri mpaka lini? Toa majibu yaliyonyooka tafadhari...
Jibu la kwamba Wizara “inatambua changamoto” na “inaendelea kuwasiliana na wadau” halitoshi...
Mapinduzi huwa yaanza hivi hivi, Serikali ya CCM ngoja waendelee kubung'aa, ni mtu mmoja tu aje atoe sentensi hii: " twende Ikulu" na ndio itakuwa mwisho wa serikali hii.
Siku KATUGA akiondoka humu duniani kabla ya Lissu au ikatokea Muheshimiwa sana aliyeko Edda akaenda kumtembelea mumewe huko aliko, siku hiyo nchi italipuka kwa shangwe za ajabu sana... watu watachinja , kula na kunywa... sherehe itakuwa kubwa sana...
Huko ndio kupuyanga to the max. yaani ni kama vile walikuwa wanamuombea msamaha asinyongwe kwenye shitaka lenye adhabu ya kifo... sijui hiyo huruma waliitoa wapi... au labda ni yake maneno ya mwisho ya Lissu ile jana ndiyo yaliyo wagusa...Leo pia wamemshukuru Lissu kwa umri na elimu...
na sio hilo neno moja tu, yapio mengine, yaaniu WAMEPUYANGA PUYANGA TI hadi sasa, kama elim zao za hapa na pale. .. kuongea ongea bila kuzijibu hoja za Lissu : mfano mwingine ni huu... "any person’ linafanana na neno ‘public" hayo ndio maneno ya Katuga
Je ni hii ni kweli au lojolojo?
Halafu...
Hii Kniniki itafika lini wilaya ya Serengeti tarafa ya Ngoreme, kata ya Kenyamonta? Huko ndiko kwenye Changamota zaidi, watu tunafuatilia tupewe hati lakini wapi... mlolongo ni mrefu...@wizara ya ardhi, toeni majibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.