Recent content by S A Y I

  1. S A Y I

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu wa awali kuhusu mgodi wa siri uliopo ndani ya pori la hifadhi Singida-Tabora

    Hujui kitu wew uliza kwa wanaojua uambiwe, mgodi upo na hiyo sehem wananchi ndo walianzisha kuchimba kwa siri baada ya serikali kugundua wakatuma maaskali game kwenda kuzuia na kuwakamata wananchi tena kama hujui roho za watu wengi zimepotezwa humo porini juu ya hilo sakata la hayo machimbo...
  2. S A Y I

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu wa awali kuhusu mgodi wa siri uliopo ndani ya pori la hifadhi Singida-Tabora

    Huko siko mzee, unazungmzia kitunda ya kiwele ni tofaut na huko anakokuzungmzia mtoa mada, ni sehem moja hivi unapita njia ya itigi kwenda migandu/ mitundu huko kama sikosei
  3. S A Y I

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    @Analyse anapenda mishangaz [emoji23]
  4. S A Y I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Fala kweli umechomoa betr mapema[emoji1787][emoji1787]
  5. S A Y I

    JamiiForums Tanzania True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    Jaribu kuweka ndefu bas
  6. S A Y I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimerejea kazini baada ya sekeseke langu kupata utatuzi

    Soon kuna vilio
  7. S A Y I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Huyu cocastic huyu [emoji848] akili kumkichwa
  8. S A Y I

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Hana boss huyo, chombo ni yake mwenyew
  9. S A Y I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama unaishi kwa shemeji yako Uwe KE au ME wewe ni mke mdogo wa shemeji yako

    We jamaa unaroho mbaya sana, kwahyo mi nikale wapi?
  10. S A Y I

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Nilipo soma comment zako za mwanzo nilidhani Huna akili timamu mkuu, mpaka pale nilipo endelea kusoma na zingine ndipo nikagundua kumbe ni kweli HUNA AKILI TIMAMU, We jamaa tafuta tiba mapema kabla hujaanza kutembea uchi mtaani. Ushauri wa bure nakupa!!
  11. S A Y I

    JamiiForums Tanzania Simulizi: For You

    Mkuu kmya kimetawala, shusha mzgo tafadhar!!!
  12. S A Y I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kwamba? [emoji1787][emoji1787]
Back
Top Bottom