Recent content by Ryio

  1. Ryio

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa jambo hili juu ya NACTE

    Sante sana kaka
  2. Ryio

    JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa jambo hili juu ya NACTE

    Nimetengeneza profile ya maombi ya NACTE, pia gharama zote nimelipa za maombi. Sasa nahitaji kuomba kozi za ualimu diploma lakini sioni option ya elimu kwenye akaunti yangu. Napata option moja tu ya health and allied sciences, msaada naombaje kozi za ualimu NACTE?
  3. Ryio

    JamiiForums Tanzania JKT wasimamie mitihani ya taifa (NECTA)

    nalo wazo
  4. Ryio

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    0764597095 jamaa ngu anaenda field hapo! So it is my hopes kwamba atakusaidia kwa namna moj au nyngne
  5. Ryio

    JamiiForums Tanzania Ualimu wa masomo ya biashara

    bachelor of education in commerce ( Bed com) ipo UDOM
  6. Ryio

    JamiiForums Tanzania Rais UDOM (CoEd) apinduliwa

    jitu zima hoooooovyoooooo!
  7. Ryio

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ualimu awamu ya pili out! Tembelea TAMISEMI

    una uhakika ni makete? tulia kijana na uangalie vizuri maana utasababisha akaripoti kwingine.
  8. Ryio

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ualimu awamu ya pili out! Tembelea TAMISEMI

    1 -5 june
  9. Ryio

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ualimu awamu ya pili out! Tembelea TAMISEMI

    njombe -ludewa DC
  10. Ryio

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wanafunzi UDOM waingia siku ya pili

    mgomo ushaisha na tulisaini pia pesa muda wowote itaingia
  11. Ryio

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) wamegoma kutokana na kukosa fedha za kujikimu

    usipende kuropoka mkuu maana huna uhakika na usiongozwe na hisia kubashiri vitu.
  12. Ryio

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) wamegoma kutokana na kukosa fedha za kujikimu

    tunamsubiri mh. waziri mkuu na yametolewa masaa kadhaa, baada ya hapo asipokuja tutaelekea mjengoni leo hii. lazima kieleweke leo maana viongozi wanajisahau sana,so ni vyema tuwakumbushe majukumu yao.
  13. Ryio

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) wamegoma kutokana na kukosa fedha za kujikimu

    ulikuwepo au ulisimuliwa..hat hvyo wakienda watano usijumulishe kuw chuo chote kilihusika.
  14. Ryio

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) wamegoma kutokana na kukosa fedha za kujikimu

    ulikuwepo au ulisimuliwa..hat hvyo wakienda watano usijumulishe kuw chuo chote kilihusika
Back
Top Bottom