1. Inawezekanaje Roho ya MTU huyu kumuingia yule.. Naomba ufafanuzi.
2. Hizo roho zinazozunguka hutafuta miili ya watu wazima au watoto ambao ndo wapo kwenye mchakato wa kuzaliwa!?
Waafrika tuna akili nyingi kuliko hata wazungu.. Tatizo lipo katika matumizi ya maarifa yetu. Tunatumia 2/10 ya akili ambayo tunayo katika mambo yetu yote. Wazungu wanatumia 7/10 ya akili yao na ni katika jambo moja tu litakalo mletea manufaa.. Hapo ndo penye utofauti mkubwa hatujitumi hatuwazi...
Hukumuona rais putin juzi anatembea barabarani kwa miguu tena umbali mrefu tuu na jua Kali.. Gari sio kitu cha kujivunia wala na sio kitu cha lazima kuwa nacho
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.