Recent content by rweyy

  1. rweyy

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere umeua ndege wawili kwa jiwe moja

    Yaan yerrico vitabu vyako muuzie Mbowe tu kwa ss utuambii kitu kumbe tapeli mzuri tu
  2. rweyy

    JamiiForums Tanzania GEORGE KABADI: Siasa zinabadilika sana Leo kumnadi Freeman Mbowe imekuwa ngumu hii ni sawa na kunadi nyama ya kitimoto Visiwani Zanzibar Mchana.

    jiulize bila serkali kuingilia kati ingetokea nn ss yeye ashinde tu Haina Ngoma ni kwenye uchaguzi mkuu atakuja na sera gani
  3. rweyy

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere umeua ndege wawili kwa jiwe moja

    Yaan ckujua huyu bwana kama ni mpuuzi kiasi hiki mjinga sana afai haya kidogo hajui hata kusoma alama za nyakati unakuwa chawa mpka anapitiliza uchawa wenyewe unampigia Mbowe siasa zenyewe hajui alafu ndo unauza kitabu cha kushinda uchaguzi kwa 1.7 ml
  4. rweyy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wapi parimatch anaanzia over 4.5 Kona bahadhi ya timu
  5. rweyy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wapi othuman kimya Sana jaribu bc kuandaa mkeka wa wiki nzima au cku 10 hata cku 14 Nina Iman unaweza kutoa badala kutegema wa cku 3 kawaida ijumaa hadi j2 kunakuwa na matokeo ya kikatili Sana badala yake kila cku iwe na timu 5 au 7 tu Nina uhakika inaweza kutufikisha tunapo paitaji
  6. rweyy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Na huo ndo ukweli alafu unatafuta app pia zenye option nzuri mfano cona y/card on target unacheza bila pressure kabisa odds 1.5 yakufikia shida watu wengi tume kalili sportbert na pawabert hizo ni nzuri kwa matreni tu Kama mm huwa nacheza kujifulahisha tu kwa pesa niliokula kwingine ili...
  7. rweyy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nisaidie jinsi ya ku join mi inagoma kuweka no ya cm inagoma kwenye code ya tz
  8. rweyy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    🙏🙏
  9. rweyy

    JamiiForums Tanzania Sababu 7 za kwanini Simba SC hawato kuwa mabingwa wa Ligikuu msimu 2023/24

    Dah unetisha Simba Aina mfungaji bora Haina kiongozi wa mabeki umesahau ndo timu iliyofunga magoli mengi na kufumgwa machache kuliko zote misimu Jana kuondoka kwa wachezaji hakuna mpka ss mchezaji wa kikosi Cha kwanza alieondoka mpka ss
  10. rweyy

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Serikali Kuhusu Vitambulisho vya NIDA Vyenye Ukomo na Visivyo na Ukomo

    Yaan mm tangu 2019 mpaka Leo kitambulisho bado tu najiuliza inapofikia mtu kumpa no Mana yake mchakato umekamilika Ila wao ss eti nlipewa no kitambulisho mwaka wa nne ss hakijatoka
  11. rweyy

    JamiiForums Tanzania Yanga SC Yapanda Namba 9 Viwango Vya Klabu Bora Afrika

    Mi Wala sishangai takwimu zilizopita Simba na yanga zilizidi man u Hawa (IFFHS) Takwimu zao wanazojua wenyewe
  12. rweyy

    JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta ya samaki au Pamba

    Mbona mengi Kanda ya ziwa ww uko wapi
  13. rweyy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inawezekana hapo anatafta bonus mbaya kaweka 200 angetia ten hapo 1ml angepata
  14. rweyy

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Halo kuna dogo mtaani kwangu kafiwa msiba uko mkoani nauli ya kwenda kwao na kurudi ni Kama laki na nusu alikuja kwangu j moc kuniambia kafiwa Ila Hana nauli nka mwambia dogo mi kwa ss Hali tee yeye akadai anataka 2000 tu itamusadia nkaona isiwe shida nakmpa j2 ananipigia Kisha panda gari...
Back
Top Bottom