Aisee! Umenikumbusha, Jamaangu alipunguzwa kazi, akawa na Akiba ya 4m. Akaamua kufungua Duka la Mangi Kitunda. Yeye anaishi Buguruni. Duka halikuchukua zaidi ya Mwaka, akafunga.
Chanzo cha biashara kufa.
Alikuwa anakopesha Majirani, mwisho wa siku Majirani nao wakawa waswahili kwenye...
Wewe utakuwa umeathiriwa na matumizi ya EXTERNAL HDD AU FLASH.
Soma vzuri maelezo ya NAS hapo juu.
Hata jina lake lenyewe NAS-Network Attached Server linajidadavua vizuri.
Neno "Offline" linakujaje kwenye hui Uziiiiiii!?
Tofauti kubwa kati ya PC (Kompyuta ya kawaida) na NAS (Network Attached Storage) ipo kwenye lengo kuu la matumizi.
Kwa lugha rahisi: PC ni kama "Gari la kutembelea" (imeundwa kufanya mambo mengi tofauti), wakati NAS ni kama "Lori la mizigo" (imeundwa maalum kwa ajili ya kubeba, kutunza, na...
NAS STORAGE SERVER
Hebu wazia NAS(Network Attached Storage) kama "Hard Disk" kubwa, yenye akili, na nguvu nyingi inayokaa nyumbani au ofisini kwako, lakini badala ya kuichomeka kwenye kompyuta kwa kebo/wire, unaunganisha kwenye intaneti au router yako (Wi-Fi).
Kifupi cha NAS ni Network...
Binafsi ninatumia Samsung S25U line 2. Line one ni YAS, inakataa ku connect, inasema changamoto iko Mtandao wa YAS hausapoti hiyo feature, wakati kabla sija nunua S25U nlikuwa na GALAXY A55, ilikuwa inasaport line zote 2 vzuri tu. Nimejaribu kuingia kwenye international forums, nikakuta...
Heko kwake Mr. SSB kwa kuwa Mzalendo namba 1 katika kupambania maendeleo ya Watanzania kwa Kuwa Mlipa Kodi Bora Tanzania. Mwenyezi Mungu azidi kumkirimia yeye na wale wote wenye jitihada kama zake.
NAS STORAGE SERVER
Hebu wazia NAS(Network Attached Storage) kama "Hard Disk" kubwa, yenye akili, na nguvu nyingi inayokaa nyumbani au ofisini kwako, lakini badala ya kuichomeka kwenye kompyuta kwa kebo/wire, unaunganisha kwenye intaneti au router yako (Wi-Fi).
Kifupi cha NAS ni Network...
What it is.
A 4-bay NAS (Network Attached Storage): basically your own private cloud. Store upto 136TB
You install hard drives inside it, connect to your router, and it becomes:
Personal Google Drive / Dropbox.
♤ Home Netflix via Plex or Jellyfin.
♤ CCTV backup.
♤ Office file sharing
♤ Phone...
What it is.
A 4-bay NAS (Network Attached Storage): basically your own private cloud. Store upto 136TB
You install hard drives inside it, connect to your router, and it becomes:
Personal Google Drive / Dropbox.
♤ Home Netflix via Plex or Jellyfin.
♤ CCTV backup.
♤ Office file sharing
♤ Phone...
Hallo wana JF.
Mimi ni mteja wa CRDB BANK, nimekuwa nikitumia TemboCard yao for years. Siku moja card yangu ikagoma kufanyakazi. Nilipoenda ku-report, wakaniambia kuwa chip ya card imeharibika, huenda ikawa imesababishwa na kuiweka kwenye wallet. Wakaniambia for the time being naweza kutumia...
Never pay for a Cloud service for backup. Get this Home NAS SERVER and access it anywhere in the world. NAS means-Network Attached Server.
-Diskless,
-8GBRam-DDR5,
-Expandable memory & Storage up to 136TB.
-The best of Home media Server(Plex/Jellyfin/KODI/Emby).
-Install DOCKER,
-Home...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.