Recent content by Rweyemam

  1. R

    JamiiForums Tanzania MWANZA: Madiwani na Watendaji wa jiji pamoja na Waandishi habari washambuliwa kwa mawe

    Mgogoro uliopo kata ya Mahina siyo tu kati ya Mkurugenzi wa Jiji na Mstahiki Meya James Bwire, ni mgogoro wa muda mrefu kati ya wenyeji na Bwana Bwire. Wenyenyeji wanadai Bwire na kundi lake kubwa la watu kutoka Mkoa wa mara hutumia ubabe katika kufanya maamuzi kwenye siasa, hususan maamuzi ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nairobi: Bunge lamnyang'anya Freeman Mbowe gari la KUB alilokuwa akitumia

    Tumsubiri Spika Ndugai athibitishe kwanza
  3. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania wameamua wanamtaka nani awe raisi wao!

    Hapa kuna walakini!. Hata kabla ya kuanza kutekeleza filosofi ya Chadema demokrasia ya chama chenyewe ilibakwa kwa kumteuwa mgombea wa nafasi ya urais kwa mtindo wa kubadilisha gia angani kama ilivyotamkwa na Mwenyekiti....
  4. R

    JamiiForums Tanzania Televisheni ya Star TV yatuhumiwa kuchochea vurugu kwa kumkashifu Edward Lowassa

    Ikitokea Kituo hicho kikavamiwa pengine na kutokea uhalifu mwanzishaji wa uzi huu na Mwananchi Said Yusuph watarahisisha kusaidia vyombo vya dola kuwakamata wahalifu ili sheria ichukue mkondo wake
  5. R

    JamiiForums Tanzania Vurugu Mara: Msafara wa Heche wavamiwa, Mwanachama mmoja wa CHADEMA Afariki

    Ni vema ikajulikana ili sheria ichukue mkondo wake..........Siyo siri zama hizi CDM pia inao maadui wa ndani zaidi ya CCM kufuatia mitafaruku ndani ya chama.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Vurugu Mara: Msafara wa Heche wavamiwa, Mwanachama mmoja wa CHADEMA Afariki

    Mleta mada angefunguka kuhabarisha japo kwa kifupi jinsi msafara ulivyovamiwa na kwa udhibitisho kuwa waliouvamia msafara walikuwa ni watu wa ccm
  7. R

    JamiiForums Tanzania Aibu: Shule ya Sekondari Ihungo Mkoani Kagera yafungwa kwa muda usiojulikana kwa kukosa Chakula

    Nasikia na Shule ya Sekondari Mpwapwa ilifungwa wiki kadhaa zilizopita kwa ukosefu wa chakula. Ni wakati sasa Serikali itatue tatizo hili haraka iwezekanvyo
  8. R

    JamiiForums Tanzania JKT zaidi ya 300 waandamana sababu ya ajira

    Hivi ni kweli waandamanaji tajwa wote ni wahitibu wa JKT! au ni msafara wa mamba na kenge wanaweza wakawemo?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Lipumba afafanua maana ya kuwaita CCM ''Intarahamwe"

    Kitendeo alichokifanya Prof Lipuma akilingani na heshima anayopewa na jamii achilia mbali kuwa wasomi wanamtegemea sana katika fani ya Uchumi na masuala mengine kwani ni mingoni mwa watu makini ambao maandiko na matamshi yake vyaweza tumiwa na wasomi kwenye tafiti za kitaaluma. Kama ni kweli ni...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Dhamira yangu sasa ni kuondoka Dodoma wiki ijayo!

    Ukimuona anayetaka kujinyonga anaaga fahamu kuwa anaogopa kufa
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Nitajiuzulu Bunge la Katiba na kufungua kesi Mahakama Kuu

    Mananeno haya aliyasemea wapi??
  12. R

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Matumizi ya helikopta za CHADEMA na elimu ya helikopta - gharama halisi

    Sidhani kama kama bei za chopa zilizoweka hapa jamvini ni sawa, cheki hizi hapa 1997 Md-Hughes Helicopter 600, Biglerville PA - 97042080 - Aerotrader.com
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kamishna Ernest Mangu ateuliwa kuwa IGP mpya

    Hongera Kamanda Ernest tunatarajia maendeleo chanya ndani ya Jeshi la Polisi
Back
Top Bottom