Recent content by Rwetembula Hassan Jumah

  1. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi Esther wa Panda Hill aliyepotea kwa siku 35 amepatikana, yadaiwa alitoroshwa na mchoma mkaa

    Soon nakupa video akisema hayo yote kuhusu Mwalimu James.
  2. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ester Noah Mwanyilu, Mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya Pandahill Mbeya amepotea

    Nchi hii iko na mambo ya ajabu sana .. mwalimu katajwa kwa barua aliyoandika huyo mwanafunzi lakini bado serikali imekula buyu. walimu sidhani kama mtakuja kuwa na maisha mazuri kiukweli kama hali itaendelea kuwa hivi. ualimu umekuwa kama genge la wahuni daah inauma. itoshe basi. nziu
  3. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Tuna mabinti kama huyu, Wasudani wa nini?

    Sio kweli, sema kwakuwa bado UNATEGEMEA wazazi ujakuwa siku ukikuwa utaelewa. watanua mapaja wako na wengi ni wasomi tena wanapanua kwa kufosi... ili watu wawapanue...
  4. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Tuna mabinti kama huyu, Wasudani wa nini?

    Mama ako si mbongo
  5. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Tuna mabinti kama huyu, Wasudani wa nini?

    Sa huyu mrembo wa Kitanzania anatofauti gani na hao Wasudani yaani bongo vitu vya kipuuzi ndo vinazungumzwa.
  6. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Makubwa(Kijana anayetrend Mitandaoni kwa kuuza Condom Mtaa kwa mtaa

    Hii Nchi ngumu sana ... nauliza hivi kondom zinarusiwa kuuzwa hadharani? Kama anavyofanya kijana huyu. Doooh
  7. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Niliogopa nilipoanza kusikiliza wimbo mpya wa Roma 'Mimi ni Nani?

    Roma amewalenga wanaojiona keki na ulevi wa madaraka.
  8. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Chakula bora ni Dawa

    Habari, Chakula bora ni Dawa. Ila Dawa sio chakula Bora. Tumia chakula kama dawa. Usije jikuta unatumia dawa kama chakula.
  9. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Maendeleo na Elimu

    Siku ukijitambua utaelewa nilichoandika. Afrika tumekuwa program baada ya kutawaliwa, Maendeleo yametuondolea mambo yetu ya msingi (asili yetu) pia Elimu imebadilisha kila kitu chetu. Mfano mdogo.. Madawa, vyakula, imani n.k. Technology. Aliyeleta technology, lengo lake apate pesa sio...
  10. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Zitambue Sifa/Tabia Kuu 10 za Mwanaume Wa Kihaya hapa Tanzania

    Tunatumia ndege stend yanini
  11. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Zitambue Sifa/Tabia Kuu 10 za Mwanaume Wa Kihaya hapa Tanzania

    🤔 mbali mbinguni tiket mpaka ufe
Back
Top Bottom