Nimejaribu kufanya utafiti wangu kwa takribani siku 30 juu ya vipindi vya asubuhi hapa Tanzania vinavyorushwa na TV za hapa nyumbani kipindi cha tuongee asubuhi kimeonekana ndio kipindi kinachotazamwa na watu wengi sana kwa wakati mmoja kuliko kipindi chochote cha TV cha asubuhi hongereni star tv
Ktk uchumi kuna mambo makuu manne Recovery,Boom,Crisis na Depression .sasa Boom nikipindi ambacho uchumi uko vizuri kwa watu na hata makampuni,pia nikipindi ambacho mambo yako shwari ndio maana wanafunzi wakipewa hiyo ela wanaita boom
Zamani ilikuwa ni kama uhaini kushabikia vyama vya upinzani na tena kuna watu wamefilisiwa na hata kutiwa korokoron muda umefika sasa chama tawala kuacha kutumia dola kudhibiti ukuaji wa vyama shindani maana hatujui kesho yetu itakuwaje
Ni ukweli mchungu kwa chama tawala na wote wanufaikao na mfumo wa chama hiki kuwa upinzani sasa umekomaaa na unakila sifa ya kuaminiwa na kupewa nchi ili kutuongoza ukweli huu unaonekana kwa jinsi wanavyopangilia mambo yao na mikakati yao mikubwa kwa ukombozi wa Taifa ni muhim sana kuwa na...
Mleta hoja anaweza kuwa yuko sahihi kuwa kuna vitendo vya namna hiyo ingawaje Namba alivyoleta Uzi huu ni kama anasema walimu wote na hapo si sahihi hasa kwa taasis kubwa kama shule, lakini pili hata mtoa hoja nina wasi wasi na elimu yake bila shaka hata chuo kikuu hakujui kunafananaje lakin...
Je sijui ni mwendelezo wa BRN kwa kawaida mtihani wa kidato cha pili ulikuwa ukifanyika mwezi wa kumi na moja lakini kuanzia mwaka Jana 2013 umeamishiwa mwezi wa kumi na ndio utaratibu mpya
Cha ajabu mpaka muda huu kuna sintofaham kwa wazaz, walimu na wanafunzu juu ya uwepo wa mtihani huo...
Pia mkuu ndg mwandishi wa habar(channel ten) mbona hata wewe umeshajijibu? Kuwa DSM wala Mwanza hajikujengwa na wakazi wa huko ?Bali wageni swami kwako nini kinawavutia wageni hao DSM ,mwanza na sio Bukoba hili nadhani no swali la msingi mkuu
Nikweli watu wengi wa mkoa hasa wasomi wako mikoa mingine hata nje ya nchi kwanza ndugu Mathias Byabato Mimi sitoki mkoa wa kagera ila katika harakati za maisha zimenifikisha huko kwa muda fulan.na nikaweza kujifunza mambo kadha wa kadha binafsi lilipapenda sana bukoba ila kilichokuwa...
Nasimuliwa kuwa enzi za mwalimu pass mark kwa wanafunzi waliokuwa wakitoka bukoba zilikuwa juu sana ili waende wachache Mwenye fact na hiyo adondoshe ukwel
Kulingana na geografia ya eneo husika lilitakiwa kuwa mbali sana kimaendeleo maana mkoa huu unakila kitu kuanzia udongo wenye rutuba,mvua yakutosha,madin ,hali ya hewa safi kwakuishi,maliasili za kutisha pia kuna ziwa ,in hub ya biashara kwa nchi za jiran,kwanini isipige hatua kubwa kubwa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.