Recent content by Rwegoshora Kajwaula

  1. R

    Ukweli kuhusu aliens

    Agenda zao hao Aliens binadamu/mwandishi amezijuaje?
  2. R

    Serikali ya Saudia yasema "Mwaka huu ni wale Waislamu waliopata chanjo ya COVID-19 pekee ndiyo wataruhusiwa kuhiji Makka/Madina"

    Hayo ndo matakwa ya wakubwa nyuma ya The New World Order. Sasa mtaanza kuona kuwa COVID-19 imetengenezwa. Baadaye hata kusafiri utahitaji Passport ya Chanjo ya COVID-19. Tuwe macho na tusubirie. Illuminati wamo Kazini.
  3. R

    Kumwagiza mtu aliyefariki akawasalimie waliofariki kabla yake ina maana gani?

    Aliyeshuhudia habari hizi "huko" halafu akaja kusimulia!!!!!
  4. R

    Wakristo tujitafakari upya taratibu zetu zote za mazishi. Kuna mambo hayako sawa

    Rais mstaafu wa TEC anamzika Rais mstaafu wa Tanzania
  5. R

    Kwenu: Ummy, Taskforces, mabibi na mabwana katika mapambano ya dhati dhidi ya Corona

    Busara ni kuuweka mkoa wa Dar chini ya karantini....... asiingie mtu wala kutoka mtu kwa angalau mwezi mmoja. Ikibidi JWTZ watumike kwa vita hii. Wafaransa Watatumia jeshi nadhani pia Uganda. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. R

    Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

    Hii iliwekwa makusudi kulinda kutokuwepo ama kukosekana kwa uthibitisho wa uwezo wa huyo Mungu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. R

    Hivi Ikulu mnafeli wapi? Mnatutia aibu Rais kuvaa jezi iliyoandikwa SporPesa badala ya SportPesa

    Hapo SportPesa hawahusiki kwani majezi hakuna ambayo nusu ni Yanga na nusu ni Simba Sent using Jamii Forums mobile app
  8. R

    Orodha ya watu maarufu zaidi duniani toka dunia kuumbwa

    Inadaiwa na kundi flani la elimu za zamani (sitalitaja japa)kuwa aliyeandika kwa pen name ya William Shakespeare ni Francis Bacon
  9. R

    Rais Magufuli: Hivi mnadhani nikiondoka madarakani ndege, reli, hospitali zitajengwa? Kwanini huko nyuma hawakufanya haya?

    Hebu tulia na umsikilize vizuri sio kwa kukurupuka utaelewa alichokimaanisha. Usipende kupotosha watu na kuwafanya hamnazo
  10. R

    Je, inawezekana vizazi vijavyo vikatucheka na kutudhihaki?

    Kitakacho badilika ni dhana ya Mungu mviziaji, mfuatiliaji, mchunguzaji, wa maisha binafsi ya binadamu. Mungu sadist anayesubiri kuwachoma moto wanadamu na akafurahishwa na maumivu yatokanayo na ukatili huo?
  11. R

    Mawasiliano Veta Kibaha

    Je nani anjua mawasiliano ya DRIVING SCHOOL ya Kibaha kama ipo anisaidie
Back
Top Bottom