Recent content by rwegosh

  1. rwegosh

    JamiiForums Tanzania MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Nieanza kuamini kua kuna walioenda uwalimu kwakua walifeli..yani vilaza na wengi nature ndo kama hawa na ndo hawa hawajui kufundiasha assignment hawajui kuziandaa, haziko friendly kwa wanafunzi,ndo zile assignments ambazo hata na yeye akijisahishia anapata 15% n kusimama mbele ya darasa kwa...
  2. rwegosh

    JamiiForums Tanzania Kilimo Biashara na kampuni ya Namaingo Business Agency

    Mimi niliwahi wafuata hawa watu wakanipa mpaka vipeperushi na muhudumu niliyemkuta alionekana hajajipanga nilipokua namuattack na maswali..ila hata hcho kipeperushi waliniuzia kwa shilingi 1000 na nilianza kuwaamini lakini nilishtushwa nilipoambiwa mrejesho wa faida kwa hesabu zangu za haraka...
Back
Top Bottom