Recent content by Rwebo

  1. R

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Uvamizi uliofanywa ofisi za JamiiForums haujaathiri Shughuli, Miundombinu na wafanyakazi

    Kweli. Kama kauli mbiu yetu inavyo tu ongoza isemayo 'JF where we dare to talk openly'.
  2. R

    JamiiForums Tanzania “Mimi naiba tu sina kazi nyengine mjini, ukinipiga ukiniuwa utajua mwenyewe…” 😂

    Maneno ya kufikirisha sana. Wenye uwezo wa kumpa kazi amsaidie kumpa kazi. Atakuwa mtumishi mzuri.
  3. R

    JamiiForums Tanzania TETESI:Baadhi ya viongozi halmashauri ya Kilindi kuburuzwa mahakamani.

    Yaani wewe mtu a kiandika Kiingereza hujui. A kiandika Kiswahili Ndiyo unakumbuka Kiingereza chenye matege.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

    Kama ana ushahidi wa kuaminika aende nao kikosini ambako huyo askari anafanya kazi aombe kumuona mkuu wa kikosi (OC). Akiwa na vielelezo vyake. Kosa hilo kijeshi ni moja ya makosa makubwa ya kufukuzwa jeshi. Usiogope hao MP wa Quaoter guard. Maana wa naweza kukutisha ukakimbia.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanaume ninayeonewa na mke wangu, Dkt. Gwajma nisaidie

    Anastahili kuwa Naibu Waziri mkuu baada ya 'October fest'.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume chukueni ushauri huu

    Hata WHO imepandisha umri wa kuitwa mzee ni kuanzia miaka 60 .sasa huyo mkuu yuko middle 50's so bado ni mtu wa Makam
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti ya bei za madirisha Aluminum kwa rangi zake?

    Huo Ndiyo Ukweli Mchungu. Double glazing ni kwa ajili ya nchi za baridi. Na ni sheria mtu hairuhusiwi kuweka Madirisha na milango ambayo siyo double glazed pamoja na kuta ambazo si insulated. Na kazi mama ya double glazing na kuta kuwa insulated ni kuzuia baridi ya nje isiingie ndani na joto la...
  8. R

    JamiiForums Tanzania INAUZWA : ONEPLUS 13 Bonge la simu, baadhi ya sifa zake hatari

    Means the price tag defines the product's value.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kazakhstan yapiga marufuku mavazi ya kidini ya ninja(niqab) kwa wanawake

    Na kwa kuongezea kidogo Mkuu, maana ya' 'Stan' kwa Kiswahili ni Nchi ya.... Au kwa Kiingereza Land of...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu umebadilika? Kwanini nyakati hizi watawala wanawake wanaonesha ukatili wa kiwango cha ajabu?

    Alipo wambia mtanikumbuka. Mkaona ana bwabwaja. Rest easy my President.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ebu jaribu kukomenti uchambuzi mfupi mfupi kulingana na hii picha

    Everybody have his or her own serpent in his/her room.
  12. R

    JamiiForums Tanzania KERO Ni ngumu sana kupata namba ya malipo ya hati ya kiwanja ofisi jiji Dodoma

    Ni mwendo huo huo hata huku kwenye ofisi za Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Waadventista wa Sabato Linaogopa Kumchukulia Hatua Mzee Wassira

    Unataka kusema wale wachangiaji wakuu ' Development Donors' ya Kanisa kama akina Dr Jimmy Onaz wana viti, vyao vya kukaa Kanisani and are treated differently? Oh My!
  14. R

    JamiiForums Tanzania Wamasai mikanda yenu ya ngozi inadumu Sana mnakosa hela jiongezeni igeni wachina

    Kwa bandiko hili una wa bia Wajerumani waache kuunda malori ya Mercedes Benz ngumu waige Howo za Kichina. Mswidi aache kuunda Scania thabiti aunde kama Yutong ya Mchina.
Back
Top Bottom