Recent content by RWANTANG

  1. RWANTANG

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ili usimuue mkeo ukajiweka matatizoni, fanya yafuatayo

    Hata baadhi yahivyo HAOI AU KUOLEWA ILA NA MTU ANAYE FANANA NAYE! MLEVI ATAOA AU KUOLEWA NA MLEVI MWENZIE MCHAWI NA MCHWI MWENZIE MWIZI NA MWIZI MWENZIE HALI KADHALIKA MCHA MUNGU MUONGO n.k
  2. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Ili upate pesa kirahisi fanya yafuatayo

    We mpwayungi weweeee hii ya tango utafanya watu watapeli sana
  3. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

    Hakuna undamaged wala umchicha "TIO SHERIA BILA SHURUTI" uone kama uta taabika
  4. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

    Hakuna undamaged wala umchicha "TII SHERIA BILA SHURUTI" uone kama uta taabika
  5. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

    Halafu wao wanapendelekewa yaani wanajengewa kabisaa bado wanajifanya vichwa ngumu, sisi ardhi inatwaliwa na hatupewi hata kiwanja ni fidia na kuchapa lapa.
  6. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

    Wanateseka sana hao waibua hoja za kipuuzi za udini wa kiongozi akiwa muislam.
  7. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa boda: Abiria just mzigo chini

    Duh
  8. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

    Asipotembea mtasema anakaa ndani kama utumbo. WANADAMU HAMRIDHIKI MKIPEWA CHUMVI MTATAKA SUKARI MKIPEWA SUKARI MATATAKA CHUMVI
  9. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

    Eeeh yamekuwa ya ukristo tena!!
  10. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Wang'atwa na kundi la nyuki wakiwa gesti wamepumzika! 🐝

    Ndio maana huwa siwaamini hawa watu
  11. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Nauli ya Zanzibar kuwa Tsh 25,000 vigezo gani vimetumika?

    Basi linate each juu ya maji?
  12. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Biashara yenye faida kubwa kwa mtaji wa Tsh milioni 15-20

    NUNUA ARDHI IPIME KISHA UZA VIWANJA UTAZALISHA MARA DUFU NA HAINA HASARA TOFAUTI NA BIASHARA NYINGINE YOYOTE
  13. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Ardhi ya Tanzania inaendelea kupigwa mnada kwa spidi ya mwanga

    Upo sahihi wanao watetea hao masay ni kujitoa ufahamu tu
  14. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu hospital ya macho inayotibu vizuri kwa gharama nafuu ukiachana na CCBRT

    Nenda MVUMI NA MACKAY DODOMA HAO NDO MABINGWA WA KUTIBU MACHO AFRIKA MASHARIKI
  15. RWANTANG

    JamiiForums Tanzania Kushusha Sukari Kienyeji

    😂😂😂😂😂😂mkuu mzizi mkavu umenichekesha sana .Ahsante sikuwa nimecheka toka asubuhi
Back
Top Bottom