Wewe jamaa pambania maisha yako...ushataja faida zilizopatikana alafu unataka faida kubwaa kwani hizo landlover zilikuwa zinauzwa si wanaonyeshana alafu wananunua tuvinywaji na vyakula kwa wajasiliamali?
Mleta mada hacha ujinga,hii nchi ata ufanye nini hauwezi itenganisha na mwalimu Nyerere na nyakati zake mana bado tunaishi na maono yake yaliyo Mengi.
Yapo ya kuyaacha na bado yapo tunayoyachukua kwa muasisi wetu...Huyu bashiru ni mtu makini sana Tatizo lake ni zile tabia za kihaya tu...
Mkuu wangu naona unapoteza tu muda wako...jamaa anakwepa swali lako alafu anajifanya kujua sana...
Ishu sio visa ishu ni uhamiaji wazenguaji sana.nimesahidia kumpa mwanga ili next time hasiwe anaruka baadhi vipengele.
Kwenye Unga hapo naungana na wewe,Mpaka ikafika wakati wanataka kubadilishana mateka na Aridhi yetu ya Bagamoyo...Kaharibu sana vijana wa kinondoni na sjui kwa nn mpaka leo afi akapate Adhabu yake mbinguni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.