Recent content by Rwandobi Jr

  1. R

    JamiiForums Njooni msome muone wenyewe

    Hatunywi sumu hatujinyongi CCM mbele kwa mbele........wacha tuisome namba eeeeh 🎼
  2. R

    JamiiForums Hukumu ya Lissu: Tanzania yaijibu Uingereza, yataka uhuru wa mahakama uheshimiwe

    Kama huo ndo uhuru wa mahakama zetu basi kama nchi bado tunasafari ndefu sana
  3. R

    JamiiForums Nafundisha Kiingereza

    Nazani ungetumia kiswahili ingekuwa poa sana ili wahusika waweze kukelewa na kukutafuta kwa ajili ya huduma
  4. R

    JamiiForums Mabasi ya Usiku: Visa nilivyo kutana navyo!

    Ni story ndefu sana mkuu ila kwa kifupi tu nategemea kupata nae mtoto hivi karibuni Mungu akijaalia
  5. R

    JamiiForums Mabasi ya Usiku: Visa nilivyo kutana navyo!

    Kuna siku nilikuwa natoka Mza-Arusha seat ya pembeni nikamkuta sister duu flani nikamsalimia akanicheck kuanzia juu hadi chini alafu akakausha na mimi nikasema fresh tu tumeenda kimya kimya tunafika Singida akaniomba nimuazime simu yangu ampigie mtu flani na mimi nikamcheck alafu nikamwambia...
  6. R

    JamiiForums Jaji Mkuu George Masaju: Uongozi Wako wa Mahakama Umetuaibisha WASABATO Tunaoheshimika kwa Kusimamia Haki.

    Sasa hivi viongozi wengi wametawaliwa na ubinafsi,tamaa ya madaraka,pesa na unafiki ndo maana imekuwa ngumu kutenda haki
  7. R

    JamiiForums Angalieni jinsi kesi ya Lissu imefichwa kwenye mtandao bila kuandika jina lake - kesi imeandikwa maherufi tu

    Kwa yale mauzauza waliyoyafanya lazima wafanye hivyo hakuna namna nyingine
  8. R

    JamiiForums Lisu na mbowe wote walikuwa chini ya Askari huyu kutoka ukonga wakiwa mahakamani

    Huyo kuna kazi maalum alikuwa amepewa na serikali ya kisamvu
  9. R

    JamiiForums Ile kauli ya Lissu, ilikuwa halali mbele ya mahakama?

    Ndiyo,sababu alichokisema ndicho kilichotokea
  10. R

    JamiiForums WALWA ALIPIGWA RISASI, IKAJAGUNDULIKA NI FULANI, GEITA ILISIMAMA KWA MSHANGAO....

    It is the rat inside the house that tells the one outside where the food is kept
  11. R

    JamiiForums Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Jealous is a last class to attend before becoming a witch
  12. R

    JamiiForums Mwigulu: Usilie simama. Nimetumwa na Rais Samia kuwasikiliza

    Moja ya kauli ya kitapeli ni hiyo 🚮
  13. R

    JamiiForums Hivi mwana sheria mkubwa Tundu Lissu kuna kesi yeyote ya maana aliyoshinda mahakamani?

    Once kilaza always kilaza,kwaiyo haujui kama kesi ya uhaini alishinda?
Back
Top Bottom