Kuhusu kudhalilishwa kwa Rais wetu Mpendwa kutokana na tamko la Mhe. Ruhaga Mpina namuomba radhi sana Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa. Inaonekana dhaaahir kuna kitu hakipo sawa kwa huyu ndugu yetu. Hii inanikumbusha kauli ya Kiongozi wetu wa awamu ya tano Mwenyezi Mungu amrehemu kuhusu hali ya...
Hivi katika historia ya nchi yetu kuna kipindi kiliwahi kutokea uongozi wa kisanii kama ilivyokuwa wakati wa Mzee wa Rubambangwe? Labda tujikumbushe japo kwa uchache. Mikopo ya hatari iliyokopwa ktk mabenki ya biashara huku tukiaminishwa kuwa nchi yetu ni "Donor county", kupora korosho za...
Kichwa cha habari cha bandiko kinamhusu Luhaga Mpina, maelezo ya habari yanamhusu Mbunge Joseph Kasheku na Jumanne Kishimba.
Mwandishi amekusudia Kutujuza nini katika bandiko hili
Magufuli alikuwa mwizi na tapeli. Alipora fedha kwenye account za wafanya biashara na pengine kupora fedha taslimu kwenye maduka ya kubadili fedha kwa kisingizio cha kujenga miradi ya kiuchumi.
Hata hivyo miradi mingi haikutengewa bajeti na bunge. Mzee yule alifikia hatua hadi kupora korosho za...
Hapo mwanzoni huo mradi ulikuwa ni dili la Kenya na Uganda. Lkn baada ya Mzee Kaguta kutafakari kwa kina
Hii hujuma ni ya Kenya. Hao wengine wamekokotwa you. Mwanzoni huu mradi ulikuwa upitie Kenya hadi Mombasa (Takriban KM 2000). Mzee Kaguta akawastukia wakenya na akaamua huo mradi upite...
Ukimtaja mwendakuzimu na porojo zake za donor county unanikumbusha aibu iliyoipata nchi yetu kwa kupora rambirambi za wahanga wa tetemeko. Alikuwa mshamba sana yule Mzee.
Hapo mimi naona vumbi tu kama si matope. Haiwezekani kuufuata mwongozo wa TAMISEMI halafu tukategemea kupata matokeo. Kuna somo mfano BIOLOGY, huwezi kufundisha mada kwa kuzingatia mpangilio wa mada za muhtasari, kwa sababu kuna baadhi ya mada ambazo mwalimu hutakiwa kuzifundisha kwa kuzingatia...
Hawa vijana wa SUMA JKT wamekuwa wakilinda taasisi mbalimbali za umma na binafsi, kama vile hospitali, mabenki nk. Sijawahi kuona ukatili kwa sababu huwa wanahoji vizuri na kutoa msaada au maelekezo pale inapotakiwa.
Huyo mhanga atakuwa amelitafuta. Pia ikumbukwe kuwa wengi katika vijana wa...
Hapo nilikusudia kwamba watu walionyang'anywa madaraja yao 2016 yamerejeshwa 2018 wakati tayari walipaswa kupanda tena. Hali hii imeleta usumbufu mkubwa kiasi kwamba watumishi ambao hawakuguswa na mtihani huo tayari wamewapita wenzao madaraja, japo ni wakongwe kazini.
Katika hili, namuombea sana mama, Mwenyezi Mungu amjaalie heri nyingi. Pia namshauri aangalie uwezekano wa kuwapandisha watumishi waliopandishwa madaraja 2015 na kisha kunyang'anywa 2016 kwa kile kilichodaiwa "kupisha uhakiki" wa vyeti feki. Hongera sana Mama, Mwenyezi Mungu akutangulie katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.