Recent content by Ruvuma

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wale walioomba nafasi za masomo vyuo vya mifugo Tukutane hapa tujuane pia.

    Ni vizuri tujuane na tuhabarishane kuhusu taaluma hii kwa wale walio tuma maombi,karibuni sana.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Bsc. in biotechnology and Laboratory sciences

    Jamani kuuliza siyo ujinga, naomba kufahamishwa kwa mwenye kujua hiyo kozi hapo juu,ina husika kufanya kazi katika maeneo gani mf. kama ni viwandani n.k
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada nataka nisome kozi yoyote ya afya ya mwaka mmoja

    Afya wanahitaji uwe umefaulu masomo ya sayansi ktk mchepuo wa PCB kama huku soma chemistry na physics wewe huna sifa za kusomea kozi yeyote ile afya
  4. R

    JamiiForums Tanzania Je, na vyuo vya binafsi vinahitaji fizikia kwa kozi za uuguzi?

    We tuma maombi wizarani wao wenyewe ndiyo watafanya maamuzi ya kuku chagua au la..!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Bachelor of veterinary medicine (5 years) vS Bsc. Biotechnology and laboratory sciences (3 years)

    Pamoja sana, MWENDO NI ULE ULE Hakuna kitu kigumu DUNIANI KITAELEWEKA TU
  6. R

    JamiiForums Tanzania Bachelor of veterinary medicine (5 years) vS Bsc. Biotechnology and laboratory sciences (3 years)

    Hakuna kinachoshindikana chini ya jua, mapambano YAENDELEEEEEEE..!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Bachelor of veterinary medicine (5 years) vS Bsc. Biotechnology and laboratory sciences (3 years)

    Nina ng'ombe ,mbuzi ,kondoo ,kuku wa kienyeji na wakisasa wa mayai na bata..! kwa ushauri wako nadhani BVM inanifaa zaidi
  8. R

    JamiiForums Tanzania Bachelor of veterinary medicine (5 years) vS Bsc. Biotechnology and laboratory sciences (3 years)

    Thank you.! lakini hata kama watu wanajiita ma Dr. lakini hawana taaluma husika nadhani ni ujinga..!
  9. R

    JamiiForums Tanzania Bachelor of veterinary medicine (5 years) vS Bsc. Biotechnology and laboratory sciences (3 years)

    Kwa hiyo kama wamegoma sisi tukusaidie nn? we vip? chapa lapa usepe huko..!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Bachelor of veterinary medicine (5 years) vS Bsc. Biotechnology and laboratory sciences (3 years)

    Ha ha ha!! Dah! BVM Kumbe kiboko? kuhusu msuli ucwaze mwendo ni ule ule 2
  11. R

    JamiiForums Tanzania Bachelor of veterinary medicine (5 years) vS Bsc. Biotechnology and laboratory sciences (3 years)

    Ushauri ndugu kama Title inavyosema hapo juu, mimi nina diploma ya afya na uzalishaji mifugo (DAHP) Nimehitimu mwaka juzi, sasa nataka kujua/ushauri nichukue bachelor ipi kati ya veterinary medicine na biotechnology and laboratory science pale SUA na vipi kuhusu money i mean salary after to graduate
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nahisi Hapa si Mahali Pangu

    HUko mifugo umesha ajiriwa?
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msaada, Tafadhal Naombeni list ya vyuo vya kilimo hapa tanzania vinavyotoa diploma

    Nenda chuo cha iLEMI kipo mbeya wanatoa diploma ya kilimo
  14. R

    JamiiForums Tanzania Changa la macho vyuo vya afya

    YAn ni utata juu ya utata wapo waliotuma maombi vyuo vya binafsi na wameshakubaliwa sa sijui itakuaje?
Back
Top Bottom