Recent content by RUV ACTVIST.

  1. RUV ACTVIST.

    JamiiForums Tanzania Dar: Mwanafunzi anayedaiwa kupotea, Abdul Nondo akabidhiwa kwa DCI

    Vyombo vyote vya habari vimemtelekeza.......neo kuogopa au mini,hakuna anayfuatilia na kutujuza mini kinaendelea kwa kijana wetu nondo
  2. RUV ACTVIST.

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga, Wahukumiwa kwenda jela miezi Mitano kwa kosa la Uchochezi

    Hii hukumu ina athiri vipi ubunge wake.....naomba kujuzwa kwa wanaojua
  3. RUV ACTVIST.

    JamiiForums Tanzania Serikali yamjibu Tundu Lissu baada ya kuituhumu, Yasema sio busara kulumbana na mgonjwa

    Kulisha andaliwa mpango was kummalizia......tuliwashitukia ndo maana tulikataa
  4. RUV ACTVIST.

    JamiiForums Tanzania Padri Mapunda: Wapinzani sio maadui, Mfalme Suleimani hakujifanya Mungu mtu. Magufuli ajifunze

    Wewe ndo juha number moja.....bado kugeuzwa makalioni tu
  5. RUV ACTVIST.

    JamiiForums Tanzania Lini CCM mtaacha kupanda chuki......

    Mnakera hamstahiri hata jina moja la heshima......
  6. RUV ACTVIST.

    JamiiForums Tanzania Lini CCM mtaacha kupanda chuki......

    Hauoni wala kusikia wanakifanya?? Au ndo walewale??
  7. RUV ACTVIST.

    JamiiForums Tanzania Lini CCM mtaacha kupanda chuki......

    Najiuliza tu....hamjui madhara ya kupanda chuki miongoni mwa watanzania
  8. RUV ACTVIST.

    JamiiForums Tanzania Swami LA ufahamu.....aliyesaafu kabla ya majina kutoka

    Atapata staiki .zake.....??
  9. RUV ACTVIST.

    JamiiForums Tanzania Ubunge wa EALA: CHADEMA hatukukosea, tutaenda Mahakamani kupinga Uchaguzi

    CCM wametumia trick.....kuweka watu 12 hakugaranttee kupata wanawake kwenye uchaguzi na hivyo hakutoi uhakika wa kupata 1/3
  10. RUV ACTVIST.

    JamiiForums Tanzania Dodoma: RC Makonda aongea na Wanahabari akiwaarifu ziara ya Waziri Mkuu wa Ethiopia Dar Es Salaam

    Kwani wewe hujasusa habari za makonda???
  11. RUV ACTVIST.

    JamiiForums Tanzania Tanzania sio ombaomba.....

    Nakumbuka alisema haiwezi kuwa ombaomba.....amtekeleza
  12. RUV ACTVIST.

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM kuna wasomi?

    Kama umesoma bila kubebwa na hutegemei fadhira toka CCM huwezi kumpenda CCM kwa mahaba tu .....huo ndo ukweli wasomi hawaipendi CCM
  13. RUV ACTVIST.

    JamiiForums Tanzania Asilimia 88 za Lissu zimsaidie Magufuli kujitafakari

    Polisi hawakuwepo kuwaibia kura maccm
  14. RUV ACTVIST.

    JamiiForums Tanzania Wauza viroba wadai fidia kwa serikali

    Kisheria limekaeje?? Wafanya biashara wa viroba,walipewa vibali na serikali,wamenunua bidha na kulipa kodi,wanaweza kudai fidia??
Back
Top Bottom