Hivi kakonko kuna shida si bure,juzijuzi mwalimu mkuu amejinyonga,mbunge wao Jana naye katuacha leo dakitari kajinyonga,kwakweli uchunguzi wa kina ufanyike maana imekuwa too much, why kakonko always?????
Kwahiyo hamtaki kumueleza,maadmn nao hawajafafanua jinsi ya kupost kwahiyo inakua Haina maana ya kujiunga,yaani nijiunge kwa ajili ya kureply tu! Haiwezekani
Mimi pia ni mgeni mbona hamtuelekezi jinsi ya kuazisha thread maana hapo wamesema tu create new thread lakini ukishamaliza kucreate sioni sehemu ya kupost.msaada please.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.