Recent content by Rutechula

  1. R

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

    Anajua maana ya haki za kimkataba lakini au ni story za vijiweni????
  2. R

    JamiiForums Tanzania Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

    Mbali na kunitetea kupitia kwsi hii hasa wasilisho la mwisho imekuwa shule tosha kwa wanafunzi wa sheria, wanasheria na majaji pia. Hakika Lisu umetuonyesha njia ya kweli ya haki na jinsi uzalendo ulivyo katika kutetea haki ya wengi. Mungu mbariki Lisu.
  3. R

    JamiiForums Tanzania CCM wanauliza hela ya ToneTone, mwaka jana Samia alichangisha B.86 Mlimani city watuambie ziko wapi

    Afisa masurufu 😁😁😁😁
  4. R

    JamiiForums Tanzania CCM wanauliza hela ya ToneTone, mwaka jana Samia alichangisha B.86 Mlimani city watuambie ziko wapi

    Nchi ya ajabu sana watu kama mawaziri hizo hela walipata wapi????
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Komba: Maswali ya Wakili wa Serikali Mkuu Katuga, kwa Heche yamedhalilisha taaluma ya sheria

    Ndiyo maana nilivutiwa sana na majibu ya Heche
  6. R

    JamiiForums Tanzania Je, wajua Tanzania ina Makamu wawili wa Rais? Mmoja ni halali na mwingine ni batilifu hadi Septemba 4 ndipo anakuwa halali. Rais na VP Sio Wabunge!

    Kati ya hoja nzuri na yenye mashiko ni hii. Hakika wewe ni mwanasheria na wakili wa ukweli. Shida ya CCM ni kwamba wanajiona wako juu ya kila kitu hata juu ya katiba yaani untouchable. Kutoshitakiwa na mamlaka yoyote ni pamoja na CCM hivyo hata hii habari ya kumfanya incommunicado ni ukiukwaji...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania haimtambui rais kama binadamu wa kawaida inamuona ni 'mungu'

    Utasikia wanufaika wanasema habari ya chakula mezani na si ni kitabu tu
  8. R

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania haimtambui rais kama binadamu wa kawaida inamuona ni 'mungu'

    Hakika shida ya nchi hii inaanzia hapo, maana mtu mmoja anakuwa ndiye nchi ndiye jeshi, polisi, mwajiri, bunge, mahakama yaani kila kitu cha mchi hii ni yeye na waliomzunguka. Hivyo tunaposema katiba mpya machawa hayaelewi shida ya mtu mmoja kumiliki kila kitu ikiwa ni pamoja na uhai wa watu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Donald Felix Mwembe: Lissu amekaa sana gerezani inauma, Heche akubali maridhiano atoke

    Tunakushukuru sana kwa huruma yako ila sasa ina harufu ya mshiko wa kuharibu chama. Kama CCM wanataka mazungumzo si wamuachie lakini hawataki na wewe unajua kuwa hawataki sana sana CCM wanataka wamtumie kama chambo au karata ya kutaka wanayo yataka. Ila sisi CDM hatulikubali hilo na pia...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini asijiuzulu Leo badala ya tarehe 4 Septemba? Anataka kumalizia kazi gani aliyoisahau na anadhani watampa nafasi aikamilishe?

    Muhimu ni 1. kwa nini hakuna neno lolote kutoka serikalini? 2. ⁠Mbona barua haikuandikwa kwenye official headed paper? 3. ⁠Kwa nini anasema nimemwandikia Rais barua alafu maudhui ya hiyo barua yanakuwa sehemu ya taarifa?? 4. ⁠Mbona main media (TBC, ITV etc) za hapa nchini hazitangazi hiyo habari
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Lissu: Kwenye kusambaza NO REFORMS NO ELECTION Hatukuzungumza na CCM, kwa sababu hao ni CCM

    Ulitaka aseme ukweli upi au kama wewe unaujua twambie pls pls pls
  12. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sikumuomba Samia nirudi nchini, Yeye ndiye aliyenitafuta wakati huo Mbowe yuko Gerezani

    Siyo raisi CCM kuaminika hadi siku ya kiama😀😀😀
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wale wazee wa salary advance sasa imerejea kazi iendelee

    Inasikitisha sana maana hii inatokana na wengi wa watumishi / waajiriwa wakiwemo Polisi na Walimu kuli pwa mshahara kidogo usiokidhi mahitaji ya sasa. Mfano take hone ya 400,000 kwa familia ya kawaida ulipe maji, umeme, nyumba / chumba, nauli ya kwako na familia yako, mavazi, extended families...
Back
Top Bottom