Recent content by Rutatinaa

  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anasubiri nini kumshughulikia Humphrey? Urais wake unayumbishwa na huyu? Asijesema hatukumwambia!

    Watanzania wengi ni mazombii akiwemo mtoa mada!! Unataka polepole anyamazishwe ili nchi ibaki gizani au? Wenye akili tunataka ccm itibuane ili hatimaye maovu yao yafahamike kwa wananchi, na taifa litambue baya na jema..
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa JMT akemea makundi yanayodai ufisadi umerudi. Je, ni makundi gani?

    [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa JMT akemea makundi yanayodai ufisadi umerudi. Je, ni makundi gani?

    Sasa inatusaidia nini wananchi? Rais kama Rais unaogopa kutaja makundi hayo ili yafahamike? Sasa lawama za nn kama unawahifadhi na kuwaogopa? JPM alikua jembe
  4. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

    Ma ccm sasaiv yanataka kusukuma ubovu wao kwa Magifuri, ikiwemo ccm member Zitto!! Hii ni trick ili ionekane wao ni wasafi na mchafu ni Magufuri..
  5. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Hata kesi ya Mbowe ni jumba bovu kwa awamu ya 6. IFUTWE!

    Zito nae akili ameshikiliwa na ccm ya Jakaya!! Nani alimfikisha mbowe mahakamani? JPM AU SAMIA?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Je, yamaanisha nini kuwa mwanadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu?

    Kwanza kabisa tuanze na kitabu chenyewe chenye kueleza habar hizo, Biblia, kama wew ni mfatliaji mzur wa bible na ukristo kiujumla utaona kuwa Biblia hii au hizi tunazozitumia leo zimewekwa kwenye mfumo rasmi(kitabu) Mwaka 325 katika mkutano wa kwanza wa nikaea(nicaea council) chini ya utawala...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Johannes Rebmann: Mtu aliyegundua mlima Kilimanjaro

    Kwan wew dini gan bro!!
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwezaje kuwadhibiti wahujumu wa maji na umeme?

    Kipind cha JPM ulisikia mgao wa maji au umeme?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Freeman Mbowe hafungwi pingu kama washtakiwa wenzake? Yeye si ndio kinara, sponsor, na mastermind wa tuhuma zao?

    Mtoa mada asante kwa kuliona hilo, mm ni shabiki wa Chadema lkn mwenyewe nimeshastukia mchezo! Hisia zangu zinanipeleka mbari sana kuwa hawa watu ni watu wa JK,kama sio watu wa CCM, sisi tunakua brainwashed tu!!
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tengua uteuzi wa Waziri Makamba na Bodi nzima ya TANESCO. Au na wewe una maslahi na kinachoendelea?

    Hakukua na matatizo kipind anapokea wizara.. Tangu ameingia tu ndo maji yamepungua, ndo service ya mitambo, ndo mazingira yameharibika...!! Inaonekana ana gundu sasa
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya umeme wa Mafuta ikiwemo IPTL kuwashwa

    Waruhusu uwekezaji kwenye umeme, ili kuleta usindani, Tanesco ya ccm ni ovyo sana
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya umeme wa Mafuta ikiwemo IPTL kuwashwa

    Angekuepo mito isingepungua maji mkuu!!
  13. R

    JamiiForums Tanzania Video: Hii ndio Crane aina ya XCMG yenye uwezo wa kubeba Tonne 100, imagine ya 26 Tonnes ikoje

    Mbona Mwanza ipo hiyo! Dar zitakosaje sasa
  14. R

    JamiiForums Tanzania January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

    Wanataka kutuletea ujinga hao wahuni!! Asema Tanzania haina crane ya kubeba tanni 30??had zitoke nje?? Si wachukue crane mbili za kubeba tanni 15 each!! Huu mpango ni wa kufelisha SGR
Back
Top Bottom