Wana JF
Nimestushwa kidogo na taarifa ya Prof.Ibrahim Lipumba Kujiuzulu Uenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF) haaswa ikizingatiwa ni ameshiriki toka mwanzo katika kumtafuta Mgombea wa Urais atakaye beba bendera ya UKAWA(Umoja wa Katiba ya Wananchi) leo hii anakimbia ?
Maswali ni mengi lakini...
Shonza !
Tunajua kwanini umepiga yowe kwa andiko lako hilo Viti Maalumu vitapunguzwa sana na vinaweza visiwepo kutokana na mtakavyopotezwa octoba mwaka huu. Hivyo lazima uanze kulia lia kwani ulichofuata mara kimeyeyuka.acha kupiga mayowe wenye uwezo na kuzichanga karata wamezichanga natumaini...
wa kususa asuse kwani ujio huu ni hazina kwa chama kama chama kitaongeza idadi ya madiwani ,wabunge na hata kuweza kukamata dola hivyo ni lazima watu kama Lowasa waje na bado tunaomba wengi waje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.